Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo traumatized..ni kama vile watu ambao tumepona nasi hatuko sawa kiakili wengi wetu..acha wale walioshiba damu..au wale ambao wako kwenye karamu ya meza ya bwana sheta wakishea damu waliyomwaga
Ni kafara ipi itapoza ..ni kweli shetani kashiba damu Hadi kavimbiwa...but they say the devil only comes and destroys..you will not be able to enjoy for long
Tukirudi kwenye kichwa Cha mada kuu, labda tukumbushane kati ya wale madikteta wakubwa afrika, nani kafikia hii rekod iliyowekwa Tanzania ya kuua watu zaidi ya elfu 2+,.