Hiyo X uliyokwenda ni ipi Ruto, ni upper au lower casewanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia,
Wanatumika kumdhoofisha. Havana wanachokitaka wao kama wao.Unaifahamu "Machiavellianism"?
Sasa ikiwa ni Utashi tu kweli kutatawalika?!Hawakutaki.
Atembeze kichapoKwa hilo namuunga mkono Ruto
Wanataka apalekwe tena kule alikopelekwa kwenda kujibu mashtakaWanatumika kumdhoofisha. Havana wanachokitaka wao kama wao.
Watamuondoa ni suala la muda tuWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
Chanzo: Citizen TV
Sasa sio Miraa tena ni Bangi?Tukisema bhangi ni mbaya muwe mnatuelewa. Gen Z are motivated by Bhangi and NOT otherwise
Cha kichwa au cha pua au cha Sikio?Piga chuma hao
Cha Mkound.uCha kichwa au cha pua au cha Sikio?
Kwenda The Hague Au ???! 😳🙄Kifuatacho hapo kinaeleweka.
Hatari sana. 🙄Ha ha ha ha, Mzee Ruto huna namna ishi nao hao maana Kenya ni yao pia.
Unless uamue Kenya sasa itawaliwe kijeshi kwa muda na wewe upumzike. Jtatu 23rd July unao tena.
Mkuu haya ni madhara ya viongozi kuwaapuuza na kuwasahau wananchi kwa muda mrefu. Nchi ikishaingia kwenye stage ambayo wananchi wanakinukisha, basi kuwatuliza tena inakuwa ni vigumu kwani watu wenye njaa na hali mbaya ya maisha, wanakuwa na frustrations. Sisi wengine hapa Tanzania huwa tunapiga kelele kutaka mabadiliko kabla wananchi hawajaamka kutoka kwenye usingizi waliolala. Nakupia nchi kama Tanzania ikilipuka kuja kutulia inachukuwa muda mrefu sana. Angalia nchi zote zilikuwa na madiktekta na wakaondolewa kwa nguvu ya umma, hazitulii kwa haraka. Na hata zikitulia, cheche ndogo tu inaweza kulipua tena mambo.Ifike sehemu waheshimu mamlaka
Hatari sana 😳Mkuu haya ni madhara ya viongozi kuwaapuuza na kuwasahau wananchi kwa muda mrefu. Nchi ikishaingia kwenye stage ambayo wananchi wanakinukisha, basi kuwatuliza tena inakuwa ni vigumu kwani watu wenye njaa na hali mbaya ya maisha, wanakuwa na frustrations. Sisi wengine hapa Tanzania huwa tunapiga kelele kutaka mabadiliko kabla wananchi hawajaamka kutoka kwenye usingizi waliolala. Nakupia nchi kama Tanzania ikilipuka kuja kutulia inachukuwa muda mrefu sana. Angalia nchi zote zilikuwa na madiktekta na wakaondolewa kwa nguvu ya umma, hazitulii kwa haraka. Na hata zikitulia, cheche ndogo tu inaweza kulipua tena mambo.
Tatizo la viongozi kujisahau kwa muda mrefu. Kinachotokea sasa hivi ni wingi wa vijana wasio na kazi kutoa frustration zao. Ni ngumu sana kumtuliza kijana asiye na future na mwenye njaa na mbaya zaidi wengi ni ma-jobless. Tukiwaambia CCM walete mabadiliko kabla mambo hayajawa mabaya wanatoa kebehi. Utekaji wanasema ni ''drama''. Tozo kubwa wanaita ''vitozo''. Tukilalamika wanasema ''tuhamie Burundi''. Machinha wakilalamika kufukuzwa wanaambiwa ''hivi mtu unafanyaje umachinga mpaka mvi zinatoka''. Tafakarini!Kwakweli hawaeleweki, ili madai yao yasikilizwe na siku za mbeleni wangekua na msimamo wa vitu wanavyopigania.
Wanapewa hiki wanasema wanataka wanataka na kile.
The Hague ??😳🙄Wanataka apalekwe tena kule alikopelekwa kwenda kujibu mashtaka
GenZ hawataki yeyote katika hao watatu. Katiba Mpya mkononi mwa wahuni Ni shidaKuna kitu cha kujifunza hapa, hii inaonesha viongozi watangulizi wa nchi za Afrika walivyo na Kwa upekee kabisa Kenya.
Gen-Z wanaweza kutulia kabisa viongozi wa Kenya wakiacha unafiki na usaliti wa unaosukumwa na uchu wa madaraka na siasa za kitabaka kwenye masuala ya kitaifa.
Nina hakika Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, Rails Odinga wakiangalia maslahi ya Taifa lao wanaweza kuwaelewesha Gen-Z njia sahihi zaidi. Siasa za namna hii ni siasa za hovyo sana kwa Taifa.
Mungu awavushe salama ndugu zetu Wakenya.
Kama ulivyo wewe unabagua wasio Waislam,nà upo radhi kumtetea Muislam mwenzako hat a akiwa Mwizi!Wakenya hawana tofauti na watu wa kaskazini ya Tanzania, ni wabaguzi sana wa ukabila.
Hili linaonesha waliwasha moto bila kujua utawachoma na wao.GenZ hawataki yeyote katika hao watatu.