Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

Mungu azipokee roho za marehemu wapate pumziko jema.

Ila maisha ni ya ajabu sana,kimahesabu hapa kuna familia tano zinalia na kuhuzunika kwa uchungu wa kuondokewa na jamaa zao then kuna familia nyengine tano zitapona kwa jamaa zao kushika nafasi walizokuwa wakizitumikia hawa waliotangulia.
Ulisemalo ni kweli lkn mimi huwa nawaza hizi familia ambazo unakuta mfanyakazi ni baba au mama na wengine waliosalia ni tegemezi na ndo hivyo ameondoka, kwanini serikali isiweke utaratibu wa kuendelea kuwalipa mshahara hata kama ni nusu huyu mke wa marehemu ambaye alikuwa hana kazi yoyote ili aweze kutunza familia yake vizuri.
 
Anajifanya mjuaji kumbe Mavi matupu tu. Atheists weng huwa ni punguani!
Achana naye kibaka mmoja hana uatheist wowote ni tapeli na mshirikina mmoja tu. Ni ushamba ndio unamsumbua na usukuma wake.
 
Achana naye kibaka mmoja hana uatheist wowote ni tapeli na mshirikina mmoja tu. Ni ushamba ndio unamsumbua na usukuma wake.
You idiot, Nilishawahi kukutapeli nini?

Hunijui sikujui halafu unasema mimi ni mshirikina?

Mshirikina ni Baba na Mama yako waliozaa zumbukuku na mbwa takataka kama wewe unaye sumbuliwa na utahira huko kichwani mwako.

Nincompoop.
 
Ulisemalo ni kweli lkn mimi huwa nawaza hizi familia ambazo unakuta mfanyakazi ni baba au mama na wengine waliosalia ni tegemezi na ndo hivyo ameondoka, kwanini serikali isiweke utaratibu wa kuendelea kuwalipa mshahara hata kama ni nusu huyu mke wa marehemu ambaye alikuwa hana kazi yoyote ili aweze kutunza familia yake vizuri.
Kama mtumishi ametumikia na kuchangia mfuko WA hifadhi ya jamii kwa miaka 15 sawa na miezi 180 mwenza ataendelea kula maisha.
 
View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.

Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.

Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.

Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
Watumishi wa Umma na mtindo wa kupeana lift,kisa mishahara midogo!
 
Serikali imepoteza nguvu kazi hapo..
Walimu wa4 wa shule ya msingi moja usikute ndo ilikuwa staff nzima hapo...
 
You idiot, Nilishawahi kukutapeli nini?

Hunijui sikujui halafu unasema mimi ni mshirikina?

Mshirikina ni Baba na Mama yako waliozaa zumbukuku na mbwa takataka kama wewe unaye sumbuliwa na utahira huko kichwani mwako.

Nincompoop.
Ulinitapeli kinyeo hiko maana uliniambia utanipa nikifumue. Pumbavu.
 
Back
Top Bottom