Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

Kwa maandishi yako tu. Byeeeeeeeee najadilkana na mwanaume asiye na linda.

Basi umeshinda ndugu yangu anuspreneur. 😀😀😀😀
Baba yako ndio hana marinda, ndio maana alizaa tahira kama wewe unaye shobokea wanaume.

Mzee wako alifukunyuliwa mtaro. Ndio maana amezaa chizi kama wewe.

Idiot, nincompoop.
 
View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.

Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.

Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.

Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
Ilipata ajari ikaungua?

Daah
 
Tupunguze mwendokasi, tufanye service kwa vyombo vyetu, tusiendeshe huku tumelewa, sauti kubwa ya mziki na mengine yafananayo na hayo
 
Siko hapa kutafuta attention you idiot!

Vifo vingi vya wanadamu vinatokana na ujinga, uzembe, umaskini na ukosefu wa maarifa.
Sawa kidoti, kifo chako kitatokana na werevu, umakini, utajiri na elimu...

Sit back and relax!!

Gadamn!!
 
Marehemu wote Wapumzike kwa Amani, njia yetu Moja kila mmoja wetu hajui saa Wala muda wa njia atakayoondoka nayo🙏
 
View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.

Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.

Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.

Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
...Wametoa Msaada Upi, na Abiria Wote Wamefariki, Au sijaelewa....?
 
Dah! Toyoya Prado siyo gari hata kidogo. Usikute hapo ball joint imechomoka kama ilivyo kawaida yake.

Rest in peace walimu wetu.
 
Huko haipitagi hata mwezi bila ajali, hadi naogopa kwenda..

Nadhani barabara itakua zimekaa vibaya sana, watu inabidi wawe makini aisee inaogopesha🙌
Barabara nadhani ni mpya upande ule au sio ile aliinadi sana Injinia yule mama. Inawezekana speed labda na labda Chombo haikuwa fiti mambo ni mengi
 
Poleni sana wafiwa ila huu mwaka 2024 from August to December ajali zimechukua wapendwa wetu sana kule Mikese,moshi kule ajali iliyosababishwa na Ngasere,Tanga ile coaster iliyochukua watu nane,kikubwa waongoza vyombo vya moto waongeze umakini pia kuomba dual kabla ya safari.
 
Back
Top Bottom