Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Kwa maandishi yako tu. Byeeeeeeeee najadilkana na mwanaume asiye na linda.Labda kinyeo cha baba yako aliye zaa tahira kama wewe unaye washwa washwa kushobokea wanaume.
Baba yako ndio hana marinda, ndio maana alizaa tahira kama wewe unaye shobokea wanaume.Kwa maandishi yako tu. Byeeeeeeeee najadilkana na mwanaume asiye na linda.
Basi umeshinda ndugu yangu anuspreneur. 😀😀😀😀
Ilipata ajari ikaungua?View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.
Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.
Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.
Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.
TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
Watu wazima wakiwa wanakutukana kutokana na ujinga wako funga mdomo acha kuwajibu jibu.Ujinga ni mtazamo wako na akili yako finyu inayo shindwa kuchambua mambo kwa kina.
A fool must be answered according to his or her foolishness.Watu wazima wakiwa wanakutukana kutokana na ujinga wako funga mdomo acha kuwajibu jibu.
Sawa kidoti, kifo chako kitatokana na werevu, umakini, utajiri na elimu...Siko hapa kutafuta attention you idiot!
Vifo vingi vya wanadamu vinatokana na ujinga, uzembe, umaskini na ukosefu wa maarifa.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.Sawa kidoti, kifo chako kitatokana na werevu, umakini, utajiri na elimu...
Sit back and relax!!
Gadamn!!
Umejuaje dereva alikuwa hana uzoefu??Innalillah wainnailayh rajiuun....
Hakika ya umauti ni mawaidha tosha kwa mwanadamu....
Gari na Pikipiki si vitu vya kujifunzia highway....huna uzoefu Acha
We ni mtambo ngoja nikupotezeeFind someone of your league to parallel your mediocrity.
Halfwit bastard!!
Apo sijasema dereva hana uzoefu...ila nimetoa tu angalizoUmejuaje dereva alikuwa hana uzoefu??
...Wametoa Msaada Upi, na Abiria Wote Wamefariki, Au sijaelewa....?View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.
Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.
Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.
Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.
TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
Dah! Toyoya Prado siyo gari hata kidogo. Usikute hapo ball joint imechomoka kama ilivyo kawaida yake.View attachment 3187039
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo walilolitumia kuelekea Nyasa katika shule ya sekondari Limbo, kikazi.
Akizungumza katika eneo la ajali, Salumu Ismail, Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa, amewashukuru wananchi kwa kujitokeza katika eneo ilipotokea ajali na kutoa msaada.
Amewaomba ndugu wa marehemu kwenda kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya Mbinga mkoani humo.
Ajali hiyo imetokea leo Desemba 28, 2024 ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.
TBC
View attachment 3187042
View attachment 3187043
Huko haipitagi hata mwezi bila ajali, hadi naogopa kwenda..Kuna nn
Barabara nadhani ni mpya upande ule au sio ile aliinadi sana Injinia yule mama. Inawezekana speed labda na labda Chombo haikuwa fiti mambo ni mengiHuko haipitagi hata mwezi bila ajali, hadi naogopa kwenda..
Nadhani barabara itakua zimekaa vibaya sana, watu inabidi wawe makini aisee inaogopesha🙌
Uzoefu !Eti chanzo hakijafahamika,wakat inajulikana ni uzembe wa dereva
😁We utakufa bila uzembe bro. So subiria umauti wako.
Hua unaandika posts na comments nyingi za kutafuta attention boss nasi tunakupa tena attentively. So subiria ufe bila uzembe.