Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha kumkimbiza hadi nje tayari siyo Manslaughter hiyo ni murder pure kabisa ameua kwa kukusudia ingekua ni reaction ya hapo na hapo ndo ingekua kaua bila kukusudia ila hii ya kushika mpini mtu kakimbia na wewe ukamkimbiza maana yake umepata muda wa kutafakari ni nini unafanya na umeamua kufanyaCase ndogo, kaua bila kukusudia.
Mahakama zina mambo. Mwamba wa Kigamboni alieenda hadi kufuata mkaa ni 1st degree kabisa ile ila kasevu.Kitendo cha kumkimbiza hadi nje tayari siyo Manslaughter hiyo ni murder pure kabisa ameua kwa kukusudia ingekua ni reaction ya hapo na hapo ndo ingekua kaua bila kukusudia ila hii ya kushika mpini mtu kakimbia na wewe ukamkimbiza maana yake umepata muda wa kutafakari ni nini unafanya na umeamua kufanya
Kwa hiyo hao walilazimishwa kuoana itakuwa.Ndio maana wanandoa wengi wanapeana sehemu za Siri sio mapenzi.
Out targetKwa hiyo hao walilazimishwa kuoana itakuwa.
Kwenye hayo mambo mnapenda sana kutetea.Wanawake Wana mauzi sana,kutegemea tu ku.ma moja kutomba, kulala na nyege ni rahisi sana,.........ndio maana UISLAM unaruhusu wanawake hadi wanne,.......tukubali tukatae UISLAM upo mbele ya muda
Mme akiomba unyumba unampa tu hakuna masharti wa kupangiana muda hata kwa siku akitaka dozi mara 5 apewe tu,Unyumba sio kama maji ya kunywa, Kuna factors zake.
Hivyo hivyoJamaa itakua amehisi Kuna mtu ana mesidia kazi alafu yeye ananyimwa.
Na ndiyo maaa kwa huo Upuuzi wao wa kutunyima Unyumba tukiwapata wengine huko Mitaani tunapita nao hadi Nyuma.Mme akiomba unyumba unampa tu hakuna masharti wa kupangiana muda hata kwa siku akitaka dozi mara 5 apewe tu,
Sasa kwann anamnyima unyumba au ndy kuna msela mwingine anampelekea
Ova
GENTAMYCINE
😄Na ndiyo maaa kwa huo Upuuzi wao wa kutunyima Unyumba tukiwapata wengine huko Mitaani tunapita nao hadi Nyuma.
Kamnyima mumewe sasa iache ikaliwe na funza!Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Wacha ikaliwe na funza , ameona akimpa mumewe anafaidi sana.😄😄😄
Wangoni wanavyopenda ngono sasa inakuwaje Luciana alikuwa anambania Mume wake? Au kuna sehemu alikuwa anatoa huduma ?
Changamoto sana