..tukubali tukatae UISLAM upo mbele ya muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..tukubali tukatae UISLAM upo mbele ya muda
Atautoa yeye huko jelaniIla pamoja na kunyimwa unyumba,sasa baada ya kuua ndio ataupata au ataukosa zaidi akiwa jela
Kuoa mke zaidi ya mmoja ........nitafutie mtu mwenye wake kuanzia mmoja ambaye ameshawahi kuua mke ama mchepuko?Unataka kuhalalisha Nini ?
Unajiwazia wewe unafikiri hao KE hawatamani kumalizana ?Kuoa mke zaidi ya mmoja ........nitafutie mtu mwenye wake kuanzia mmoja ambaye ameshawahi kuua mke ama mchepuko?
Kaa na ubaki nao kwenu ili kuendelea kuzingatia hizo factors.Unyumba sio kama maji ya kunywa, Kuna factors zake.
KaishatoroMkuyenge wake unampeleka jela maisha
Ndio maana wanandoa wengi wanapeana sehemu za Siri sio mapenzi.Kaa na ubaki nao kwenu ili kuendelea kuzingatia hizo factors.