Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

..tukubali tukatae UISLAM upo mbele ya muda
20231014_121104.jpg
 
wengi mliokomment mnamlaumu mdada kwa kubania tunda.. ila wanaume hatufanani wakati wa show wengi mnawafanyia maandalizi wake zenu mipapaso kwa sana kwahiyo sio poa kumlaumu huyo mke labda mume wake hakuwa kama nyinyi..mwanamke hawezi kukunyima tendo bila sababu hamuwezi jua labda jamaa anfanya kama anabaka hamna maandalizi yoyote au pengine ni wale wa kilabuni kwenye mapombe ya kienyeji unarudi home pombe tupu alafu utake kukaa kifuani mwa mkeo kwanini asikukwepe!. nyumba zetu zinaficha mengi msiwe rahisi kuhukumu kwa muyaonayo nje mengi ni maigizo ndoa ipo ndani huko
 
Kuoa mke zaidi ya mmoja ........nitafutie mtu mwenye wake kuanzia mmoja ambaye ameshawahi kuua mke ama mchepuko?
Unajiwazia wewe unafikiri hao KE hawatamani kumalizana ?
 
Unajua kabisa mi sinywi pombe, sivuti sigara, sichezi kamari, sichanji gomba, siskilizi mziki we unategemea mi ntakua napenda nini? Alafu unaninyima si unajitakia kifo
 
Back
Top Bottom