mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Hapa haitakiwi kabisa hata kujaribu kumtetea huyo mwanaume.Miaka 22 tiar upo kwenye ndoa alafu utaki kutoa mzigo why so
Na nyinyi vijana wezangu acheni kuoa wanawake ambao hawajui maandiko
Mwanamke anaejua maandiko anafahamu fika kabisa kuwa hana mamlaka na mwili wake mwenyewe
Yeye ndo atageuzwa unyumba wa wahuniIla pamoja na kunyimwa unyumba,sasa baada ya kuua ndio ataupata au ataukosa zaidi akiwa jela
Salama lekoo?!
Kuku style! Bila kukimbizana hamna unyumba! Ubaya UBWELA.Kaishatoro
Dada wa watu kafa na utamu wake
Yaani kutoa mzigo mpaja mkimbizane na shoka du
Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma..🥺🥺🥺 upwiruMartin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Mwanamke humnyima unyumba mumewe anapopata mchepuko nje na kumaliza haha zake kabla ya mumewe!!Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Mkuu hawa n uliowasikia tu region na TVMartin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Hapo unakuta kuna muhuni alikuwa anampa uroda bure. Rest in Peace Luciana.Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.
"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"
"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Nakuunga mkono mtumishHapa haitakiwi kabisa hata kujaribu kumtetea huyo mwanaume.
Kuchukua uhai wa mtu ni jambo lingine kabisa
Ivi tatizo la afya ya akili ni kubwa kiasi hiki. Mtuhumiwa ni hamnazo kabisa.View attachment 3161491
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma limetoa taarifa ya mauaji yaliotokea tarehe 14.11.2024 majira ya saa 12 asubuhi katika kitongoji cha Mbilo, kijiji cha Kizuka ,kata ya kizukatarafa ya Muhukuru wilaya ya Songea ,mwanamke aliyefahamika kwa jina la Ponsiana Dastan Kapinga (22)ameua kwa kupigwa na kitu kizito kichwani juu ya jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mumwe aitwaye Mrtin Hyera baada ya kunyimwa tendo la ndoa
Kabla ya mauaji wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana mwanaume akiwa ameshika mpini wa shoka ndipo alipoenda kutekeleza mauaji hayo.
na baada ya kufanya mauaji hayo mtuhumiwa (mume) alimpigia simu shangazi yake Pulina Nchimbi na kumjulisha amemuua mke wake kwasababu ya kumnyima unyumba kwa muda mrefu. baada ya kutoa taarifa kwa shangazi yake akakimbia jeshi la polisi linaendelea na msako katika maeneo mbalimbali.
Bantu Lady shida inaanzia hapa unalala na mwenzio halafu humpi unamsaundisha tu. Kufa nje nje 🤣🤣🤣View attachment 3161491