Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Mmepunguza utegemezi wa mikopo wakati taarifa zinaonyesha kuwa deni la taifa limepaa kwa kasi ya ajabu? Je deni hilo linatokana na kitu gani kama si mikopo?
we mjinga kweli, bank ukikopa ukaacha kurejesha kwa wakati riba haiongezeki? au huelewi hata taratibu za mikopo, deni linakua coz hatulipi kwa wakati coz pesa nyingi zipo kwenye miradi.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Nafikiri wakati unaandika huu utumbo na machozi yanakutiririka kabisa. Pole sana and take heart.
 
Utasemaje mtu hana kazi wakati hajawahi kujipanga mlangoni mwako kukuomba msaada. Come of age please and stop being cretin.
 

angalizo tu yule jamaaa ni chizi wasitumie izi pesa kumuongezea pombe
 
Inashindikana nini kwenye ruzuku ya bilioni 4 kwa mwaka kutoa milioni 4
 
Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Naona kiroho kinakuuma. Pole. Ni ruzuku hiyo!
 
Pole sana kwa kujikuna na kucheka kama nanihii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…