Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Ni aibu, mbona hulali kwenye nyasi kwani usingizi hauwezi kuja?
Kwa hiyo wanaoishi kwenye nyumba wote ni zao wamejenga? Ukitaka kujua kuwa kujenga bila mipango ni ujinga nenda tembelea uswahilini uone wenye nyumba wanavyo gongea misaada kwa wapangaji wao au mtu kajenga anaishi kwake afu analala njaa.
 
Dah hizo sifa mbona za bashite na lemutuz mi nawajua vijana safi wa chadema wana kazi zao na elimu zao nzuri tu ila maccmavi mengi ndo hayo hayana mbele wala nyuma
 
usijitoe faham beberu linalozungumziwa hapa unalijua, chadema ni wapinzani uchwara kila kitu wanapinga bt hata siku moja hatujasikia wakipinga kupokea ruzuku hapo ndo mnapaswa mjiongeze nyie mbulula mnaopa support
Utapingaje kupokea hela wewe
 
Kwa hiyo wanaoishi kwenye nyumba wote ni zao wamejenga? Ukitaka kujua kuwa kujenga bila mipango ni ujinga nenda tembelea uswahilini uone wenye nyumba wanavyo gongea misaada kwa wapangaji wao au mtu kajenga anaishi kwake afu analala njaa.
Acha kutetea ujinga na wewe, mtu unalipwa kila mwezi milion 400 unashindwaje kujenga ofisi moja ya milioni 300 kwa miaka 5? shame on you
 
Magari 50 kwa majimbo 200 Ni utani
 
Toka nimejiunga sijawahi kujuta kujiunga na chadema toka 1992 I was only 17 sebuleni kwa mzee wangu wakati huo hata slaa hakwepo KARATU TUNA HISTORIA NA CDM
 
subiri repot ya takukuru ndo utaelewa kinachoendelea.
Hao hao takukuru waliwaiya na kuwahoji wabunge wa chadema. Hakuna alionekana na tatizo. Ww uchunguzi wako umeendesha wapi?
Pili nataka evidence kutoka kwako. Nothing else
 
Hivi haya magari huwa yanaenda wapi baada ya kampeni? Maana kila kampeni lazima tuone magari mapya, baada ya hapo hatuyaoni. Hurudishwa show room au?

Magari yaliyomwagwa 2000, 2015 yamekwisha au haya ni nyongeza?
 
Lakini mbona picha hizi za siku nyingi sana ?!
 
usijitoe faham beberu linalozungumziwa hapa unalijua, chadema ni wapinzani uchwara kila kitu wanapinga bt hata siku moja hatujasikia wakipinga kupokea ruzuku hapo ndo mnapaswa mjiongeze nyie mbulula mnaopa support
Beberu no yeyote anaeongea Mambo yasiyo kuwa na maana halisi .
 
Ni sawa na kumuuliza mlezi wako (to put it mildly) kwa nini walikulea ukawa mkubwa namna hii na kuwa na akili za kitoto.
 
Another wasted semen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…