gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Kwa hiyo wanaoishi kwenye nyumba wote ni zao wamejenga? Ukitaka kujua kuwa kujenga bila mipango ni ujinga nenda tembelea uswahilini uone wenye nyumba wanavyo gongea misaada kwa wapangaji wao au mtu kajenga anaishi kwake afu analala njaa.Ni aibu, mbona hulali kwenye nyasi kwani usingizi hauwezi kuja?