gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Bora ungekaa kimya we hujielewi. Meko aliomba apunguziwe deni kwa kuwa kila mwezi 700b zinaenda kulipa madeni, sasa chukua 700b zingine zikalipe mishahara na hapo bado matumizi mengine ya serikali.kwa akili hizi ni ngumu kuujua ushenzi wa beberu, jiulize tu kwanini tangu tupunguze kuchukua mikopo nakutumia pesa za ndani mbona mabeberu yanang'aka sana? wale hawataki mwafrika ajitawale ndo maana wameunda mifumo kandamizi itakayotufanya kua duni daima.
Ukifanya hesabu hizo, hizo fedha za ndani za kufanya miradi zinatoka wapi? Na kama zinatumika fedha za ndani mbona deni la taifa linazidi kupaa? Hilo deni la taifa linaloongezeka hizo fedha zinaendaga wapi?
Ukikaa kumsikiliza na kumuamini Meko kwa kila jambo utapotea, yeye mwenyewe nadhani akienda kukaa kutazama clip zake huwa anajishangaa alichokuwa anabwatuka.