Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

kwa akili hizi ni ngumu kuujua ushenzi wa beberu, jiulize tu kwanini tangu tupunguze kuchukua mikopo nakutumia pesa za ndani mbona mabeberu yanang'aka sana? wale hawataki mwafrika ajitawale ndo maana wameunda mifumo kandamizi itakayotufanya kua duni daima.
Bora ungekaa kimya we hujielewi. Meko aliomba apunguziwe deni kwa kuwa kila mwezi 700b zinaenda kulipa madeni, sasa chukua 700b zingine zikalipe mishahara na hapo bado matumizi mengine ya serikali.

Ukifanya hesabu hizo, hizo fedha za ndani za kufanya miradi zinatoka wapi? Na kama zinatumika fedha za ndani mbona deni la taifa linazidi kupaa? Hilo deni la taifa linaloongezeka hizo fedha zinaendaga wapi?

Ukikaa kumsikiliza na kumuamini Meko kwa kila jambo utapotea, yeye mwenyewe nadhani akienda kukaa kutazama clip zake huwa anajishangaa alichokuwa anabwatuka.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.

Ww unasema magari, wakati nchi hii imejaa miradi kibao ya wafadhili. Angalia magari yote ya DFP, yote hayo ni ufadhili wa hao hao mabeberu. Au wazungu ni hatari tu wakishirikiana na cdm? Acha siasa za kitoto dogo.
 
Kwa hiyo milion 400 kwa miezi mnne ni sawa na Bilioni 19??
😅😅😅chagua mwenyewe tusi. Maana tutakupendelea sisi.
MIAKA MINNE nadhani Chadema wamepokea ruzuku milioni 400 kila mwezi. Sasa kimahesabu

400 milioni X miezi 12 X miaka 4 = karibu 19 bilioni. Niko tayari kukosolewa.
 
Hizo ni propaganda nyepesi hayo magari ni ya siku nyingi sana hakuna gari mpya hata moja lililonunuliwa.

Swali la msingi hivi Dar-es-salaam sasa hivi kuna mvua ???kama hivyo sivyo mbona location yalipopaki magari kuna mvua inanyesha.
 
leo sky eclat kaaibika kaleta uzi wa uongo anashindwa hata kuutetea
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Haya magari ni ya miaka kumi iliyopita. Ponda mali kufa kwaja
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.

hio ruzuku ni ya mwaka gan maana magari hayaonyeshi kama yamenunuliwa ama mmetumia ruzuku kukodisha magari
 
1596790707526.png

naona kuna mpesa pemben ya kupokea ela wa wanachama kwa haraka zaidi ili kiongozi alewe vizuri
 
No. Yaani kuwa na jengo la ofisi hakuna maana?! unaona bora kuendelea kupanga kale kakibanda pale Ufipa!

Tangu lini ukapanga matumizi sahihi ya pesa kwenye mali inayohamishika?!
Acha kuwa mshamba.. kwanini benki wana mabilioni lakini wanapanga?
 
Back
Top Bottom