Rwanda inafanya makubwa

Sasa wewe mwenye vyote hivyo mbona hatuoni maendeleo zaidi ya uchawa? Wewe mwenye Kila kitu watoto wanasomea chini ya mti Tena kwenye Jiji kama dar? Huoni aibu?
 
Tena nimemsikia rais akiulizwa swali huko sauzi, majawabu aliyoyatoa, basi tu! Wasikilizaji waliishia kupiga makofi kumpa moyo.
 
Hujaelewa, Rwanda katumia $5M kuandaa mkutano wa FIFA.
Rwanda ina invest kujitangaza kimaraifa na kujisafisha ndo yale yale ya kutowa $30m kumpa Arsenal ili atangaze nchi yake kwenye jezi yao,.......Rwanda ni masikini kutoa hizo pesa kwa lengo la kujitangaza tu, ila pale Kagame huwezi kumkosowa atakuua tu. Hiyo ndo hali ya Rwanda huwezi kulinganisha na nchi yenye freedom of press and speech Tz,
 
Hawa wajinga hawajui safari ya raisi moja tu pesa inayotumika inaweza kujenga shule Tano wakati mwingine unakuta unachopewa msaada hakifanani na matumizi yako
 
Mkuu naona unielewi, ni likwambia TZ inamfumo wake wakufanya biashara yake, wote atutamiga mfumo wa Rwanda.......Raisi wetu anafute potential meaningful investor kwa kuwafuata uko kwao.
 
Hawa wajinga hawajui safari ya raisi moja tu pesa inayotumika inaweza kujenga shule Tano wakati mwingine unakuta unachopewa msaada hakifanani na matumizi yako
Nyie akili ziko local sanaa wewe unafikili tatizo la Tanzania ni kujenga shule tu, nchi hi inahitaji mambo mengi zaidi ya kujenga shule, Raisi asipo safari maendeleo ya nchi yata dumaa.
 
Hawa wajinga hawajui safari ya raisi moja tu pesa inayotumika inaweza kujenga shule Tano wakati mwingine unakuta unachopewa msaada hakifanani na matumizi yako
Akipewa mkopo anajivunia safari zake eti ndiyo sababu. Huyu mtu anastahili kukosolewa ili awe anajiuliza kabla ya maamuzi. Tatizo kuna watu wa karibu wanampa sifa, anajisahau na kuamini yeye ni thinker, kumbe ni kiwango duni anayehitaji kusaidiwa.
 
Nyie akili ziko local sanaa wewe unafikili tatizo la Tanzania ni kujenga shule tu, nchi hi inahitaji mambo mengi zaidi ya kujenga shule, Raisi asipo safari maendeleo ya nchi yata dumaa.
Naona kama umedumaa akili!
 
Nyie akili ziko local sanaa wewe unafikili tatizo la Tanzania ni kujenga shule tu, nchi hi inahitaji mambo mengi zaidi ya kujenga shule, Raisi asipo safari maendeleo ya nchi yata dumaa.
Unaona ulivyo punguani? Sasa bila elimu hayo mengine yatajengwa kimiujiza? Ndio maana lowasa alisisitiza elimu maana alikua hii nchi Ina mbumbumbu wengi kama wewe
 
Ni kweli kabisa Africa bila madikteta haitaendelea kamwe

Kwamba Afrika sheria hazifanyi kazi, ila ukatali wa mtu mmoja ndio unafanya kazi? Naona mnataka kutetea utawala wa kidhalimu wa Magufuli kwa mlango wa uani.
 
Kila nchi Ina mikakati yake,pesa inayotumika Tanzania kulipa mishahara tu Rwanda inatosha kuwa ni bajeti kuu ya kuongoza nchi. Usitake Rais wetu aige ufala wa kukaa kaa ndani anasubiri fursa zije mwisho anaanza kuwa Kila kitu ni yeye anakagua mpaka ubora wa barabara wakati wapo wataalamu wanalipwa mishahara Kwa kazi hiyo. Halafu mwisho Kwa kukusaidia tafuta maisha itakupungizia Sana kujisonya sonya na kulaumu watawala. Hakuna Rais atakuja kukupa hela ya matumizi kijiweni kwako.
 
Rwanda Ni nchi inayopiga Maendeleo hiyo inaonekana lakini Tanzania inaongoza kwa kupiga Maendeleo ukisema watz wajinga huo' ujingaa unaanzia kwa Nan? Huende kwako Huwezi shambulia majority ya watu based on minority ' unajua watanzania wanaviwanda vingapi vya kwao wenyewe? Ukishindwa ww usione wengne wameshindwa. Chukua nchi za Afrika mashariki. Kila nchi Hesabu hospital 100 za maana.
Shule 100 za maana.
Vituo vituo vya Afya 100 vya maana.
Barabara nzuri 100 .
Viwanda 500 alafu uone twakimu zitakupelekaje ukiweza hivyo utakuwa na majibu Sa hihi juu ya Tanzania kabla ya kutoa mawazo yako usiyo yathibitisha kimantik.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…