wanyarwanda si wajinga kama watanzania.kule hakuna chawa,hakuna wapuuzi wa kushadadia mambo ya hovyo.kagame mara chache sana kumwona anasafiri mje ya nchi yake.yuko busy kujenga uchumi wa nchi yake kwa kutumia rasilimali chache alizonazo.kwa wale waliowahi kwenda rwanda ukifika tu boda ya rwanda utajua kweli huyu mtu yuko makini.mji msafi,barabara safi,mazingira yote ni safi.nchi ni kijani kitupu.tanzania nchi kubwa,watu wa hovyo wamekalia kushabikia vitu vya hovyo,elimu,afya hovyo,mpk sasa watu wanakunywa maji ya tope utadhani nchi haina rasilimali maji.kagame alipaswa kuiongoza tanzania ndo maana aliwahi kusema angepewa kuiongoza tz nchi ingekuwa mbali sana kwa rasilimali tulizonazo.kwa bahati mbaya sana nchi hii wamejaa wajinga wengi ambao kila siku wanawaza ujinga uliomo vichwani mwao.