Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

Tawire baba kongole umewiva huna mpizani
 
Tuna madude mengi na bora kuliko hiki cha mtoto. Hivi tukiamua kufanya kama tulivyomfanyia nduli, kwenye ukanda huu, kuna kiumbe atafurukuta kweli? Hao mnaowasifia walishindwa na hata Habyarimana hadi wakamtungua katika kutapatapa.
Nyerere aliwekeza sana kwenye jeshi na patriotism ilikuwa juu sana, sasa uwekezaji ni hafifu mno tofauti na Rwanda, Uganda na Kenya. Kwa sasa serikali inavyoendesha mambo kuna baadhi ya raia wanaweza kusaidia adui tukiwa vitani kwa sababu tu ya kuuchukia mfumo na hasa hawa wanaoitwa wasiojulikana.
 
Kama Tanzania ikivamiwa leo itaanguka kama bua la muhindi kwasababu majority ya wananchi hawako na serikali yao!
Nyerere alifanikiwa kumpiga Amini kwasababu alikuwa anaungwa mkono na wananchi!
Samia haungwi mkono na wengi kwa sababu ya kuuza maliasili za nchi kwa waarabu bila ridhaa ya wenye mali na pia siasa zake za kuua wapinzani!
 
Iron dome hao wanarusha wamevaa kandambili?na hapo wanaulizana tunaitupa vipi.
Hao wanakijiji wanaweza kupigana vita hao.
Iron dome inatupwa toka nyumba ya udongo.
Congo ni wajinga sanaa, wana uwezo kukifurusha hiyo kanchi dk 2 tu wamelala.
Hao si kwamba wanapigana inavyoelekea ni kama wameokota mabaki ya hizo AD au shells zinazotupwa na DRC...
 
Inaonekana dunia inahamia kwenye drones warfare. Walitangaza Rwanda ilifanya shamulio la drone huko goma.
 
Yes j7 mazing zong wamecopy kwa mig za Moscow
 
Inaonekana dunia inahamia kwenye drones warfare. Walitangaza Rwanda ilifanya shamulio la drone huko goma.
Mara ya mwisho za chini ya kapeti zilidai mtu mrefu alipeleka vijana wake mia sita wakajifunze urubani wa drones kwenye manchi makubwa makubwa huko sijui kweli mana kijiwe chetu cha boda boda nacho mmmh
 
It is better to read before. WHY DO YOU THINK RWANDA CANNOT HAVE ONE? Or other mean or air defence system?

It is well known that Rwanda use, DK-10, a Chinese made surface-to-air missile (SAM) system, is primarily used by Rwanda and Morocco.

But also,

Apart from this Israel's defense company, RAFAEL, established its first African headquarters in Kigali in 2022.
RAFAEL, an Israeli defense company, develops a range of advanced defense systems, including missile defense, air defense, cybersecurity, and more. Some of the key systems developed by RAFAEL include Iron Dome; A renowned short-range air defense system designed to intercept and destroy incoming missiles, rockets, and artillery shells that threaten populated areas.
 
Comparison ya Wanajeshi wa Rwanda na Tanzania

Wanajeshi wa Rwanda:

1. Idadi ya Jeshi: 45,000 wanajeshi wa kudumu, na 30,000 wa akiba.
2. Shughuli za Jeshi: Jeshi, Jeshi la Anga, Jeshi Maalum, Polisi wa Jeshi, na Akiba.
3. Mafunzo: Mafunzo makali, hasa katika ulinzi wa amani na vita dhidi ya magaidi. Wanajeshi wa Rwanda ni hodari katika mbinu za kisasa za kivita.
4. Ushiriki katika Ulinzi wa Amani: Wanajeshi wa Rwanda wanahusika sana katika DRC na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
5. Vifaa vya Kivita: Vifaa vya kisasa ikiwa ni pamoja na silaha za China kama Yitian SAMs, magari ya kivita kutoka Ufaransa, na helikopta za Ufaransa.
6. Jeshi Maalum: Jeshi la Maalum la Rwanda linajulikana kwa vita dhidi ya magaidi, kufanya operesheni za siri, na kuhamasisha harakati za kijamii.
7. Mikakati ya Kikanda: Rwanda ina madhumuni ya kijeshi ya kuimarisha usalama wa kanda, hasa katika DRC na Mikoa ya Maziwa Makuu.
8. Vita vya Karibuni: Imeshiriki katika vita vya DRC, na operesheni dhidi ya M23. Inajulikana kwa operesheni zake za haraka na ufanisi.
9. Muungano wa Kimataifa: Inashirikiana na Ufaransa, China, na African Union katika masuala ya usalama na ulinzi wa amani.
10. Bajeti ya Jeshi: Bajeti ya $105 milioni (2021), ikijikita katika uimarishaji wa uwezo wa kijeshi na operesheni za ulinzi wa amani.
11. Madhumuni ya Umma na Nia ya Jeshi: Jeshi la Rwanda linatambulika kama jeshi lenye ufanisi, linalojulikana kwa mbinu za kisasa za kivita na operesheni za usalama katika kanda.

Wanajeshi wa Tanzania:

1. Idadi ya Jeshi: 27,000 wanajeshi wa kudumu, na 65,000 wa akiba.
2. Shughuli za Jeshi: Jeshi, Jeshi la Anga, Jeshi la Majini, na Wanajeshi wa Akiba.
3. Mafunzo: Mafunzo ya msingi, hasa katika ulinzi wa mipaka na vita vya msituni. Wana uzoefu mdogo wa vita vya karibu na matumizi ya mbinu za kisasa.
4. Ushiriki katika Ulinzi wa Amani: Wanajeshi wa Tanzania wanashiriki katika Darfur, Somalia, na Zanzibar kama sehemu ya AMISOM.
5. Vifaa vya Kivita: Vifaa vya kivita vya zamani vikiwemo SAM za Soviet na Shenyang F-7 (China), pamoja na silaha za mizinga ya Russia.
6. Jeshi Maalum: Jeshi la Maalum la Tanzania linatumiwa katika ulinzi wa ndani na vita vya msituni, lakini lina uzoefu mdogo katika operesheni za kisasa.
7. Mikakati ya Kikanda: Tanzania ina mikakati ya kujilinda na ina athari kubwa katika usalama wa kanda hasa kwenye EAC na AMISOM.
8. Vita vya Karibuni: Tanzania imeshiriki katika operesheni za amani katika Darfur, Somalia, na Zanzibar.
9. Muungano wa Kimataifa: Inashirikiana na China na African Union katika masuala ya amani na usalama.
10. Bajeti ya Jeshi: Bajeti ya $560 milioni (2021), inazingatia ulinzi wa mipaka na usalama wa ndani.
11. Madhumuni ya Umma na Nia ya Jeshi: Jeshi la Tanzania linatambulika kwa ulinzi wa ndani na mikataba ya amani katika kanda, ingawa lina uzoefu mdogo wa operesheni za kivita.

Muhtasari:

  • Wanajeshi wa Rwanda ni wajanja katika mbinu za kisasa za kivita, haswa kutokana na uzoefu wao mkubwa katika vita dhidi ya magaidi, ulinzi wa amani, na operesheni za siri. Vifaa vyao ni vya kisasa, wakiwemo silaha za China na helikopta za Ufaransa.
  • Wanajeshi wa Tanzania, ingawa wanajulikana kwa ulinzi wa ndani na vita vya msituni, wanatofautiana na Rwanda kwa kuwa hawana uzoefu mkubwa katika vita vya karibu na mbinu za kisasa. Vifaa vyao vikiwemo SAM za Soviet na Shenyang F-7, ni vya zamani zaidi.

Kwa ujumla, wanajeshi wa Rwanda wana uwezo bora wa kijeshi na uzoefu mkubwa katika vita vya kisasa, wakati wanajeshi wa Tanzania wanajulikana kwa ulinzi wa mipaka na mikataba ya amani.
 
Hii vita nimeifatilia kwenye spheres nyingi. Nimeomba nipewe platoon moja na ndege moja WARTHOG A10. Kesho nitakunywa chai kigali.

Sema Watanzania wanaoenda kujisifia, kwanini unadhani Tanzania ina ndege za kivita bora kuliko DRC? Mbona jeshi lao limeshindwa mikononi mwa JKWT, na Jeshi la Afrika Kusini limetii? Hao ni jeshi za FARDC, BURUNDI, SAMDRc, na wazalendo wote

Angalia video hapo
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1738132926182.mp4
    2.8 MB
Naona MK254 ame-like, sasa sijui kama anapinga ama kulikubali wazo lako. Maana as long as West na Russia wanahusika, ni lazima apate hofu.
 
Kwa hiyo kwa akili yako idadi ya jeshi la Tanzania ni 27,000...??

Muelewe kwamba: Ielewe Tanzania ina mfumo wa namna gani kwenye masuala ya kiusalama hususani ya kijeshi. Tanzania mambo ya kijeshi ni ya siri kwa sababu ya kiusalama wa Taifa. Tanzania ndiyo imechagua hivyo! Huwezi kupata habari zozote za maana kuhusu Jwtz kwenye mitandao yoyote hata kwenye tovuti za kijeshi (Jwtz).

Bajeti tu haijadiliwi bungeni, wewe umeitolea wapi? Na CAG huko haruhusiwi kuingia. Wewe umezitolea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…