Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

Sasa Rwanda sisi watatufanya nini?

Mnapigana na kubwa jinga Congo ambayo dhaifu tangu enzi za Che Guevara ambaye madhaifu aliyoyatoa kuhusu Congo ndiyo bado yapo mpaka leo.

Rwanda si inapigana na kubwa jinga hapo? Rwanda ni wa kawaida sana! Hawana lolote special na ni watu wa propaganda.

Jana wametapakaza kuonyesha ADS kufanya ni za kwao kwenye mitandano kumbe wame screenshot za Morroco huko!
 
Hio Iron Dome ilipitaje bila TPA au Mombasa Port kujua
Rwanda ni jeshi la propaganda. Nguvu yqo kubwa ndiyo imejikita huko!

Wanataka watengeneze hofu ya kisaikolojia kwa majirani zake ili watishike. Ila ni wa kawaida sana.

Ni kama walivyojenga kisaikolojia kwa kutumia mitandao kuwa Rwanda pazuri pana maisha mazuri kumbe hakuna lolote!

Wanawake zao ukiwapa mchele tu unalala nao. Wana maisha magumu kuliko watanzania.
 

Nenda Mtwara kaangalie kinachofanyika huko! Au nenda kaulize raia wa huko nini Jwtz wanafanya.
 
Kimsingi ikifika stage kundi kubwa la raia linaiona serikali kama sio sehemu yao ujuwe nchi inakuwa iko kwenye hatari sana.

Yani raia wanachuki na serikali ilioko madarakani kiasi kwamba hata likitokea baya hawatajishughulisha. Watasema acha iangushwe tu. Hali hio inakuwa mbaya sana.
 
Na ndiyo maana wazee wa CCM wenye akili walitaka Lissu awe Mwenyekiti wa Chadema ili CCM automatically vilaza wapungue.

Kwa sababu ukiwa punguani huwezi kumjibu Lissu.
 
AI itakuuwa We fala
 
This is all war Kagame won, it seem Rwandan can not stay 3years without attending direct combat in, their soldiers has more experience that TANZANIA due to tanzania has not engaged is direct combat since 1980 instead of peacekeeping, where the peacekeeping missions is to stay between to fighting parties, instead of direct combat.

1. Rwandan GENOCIDE (1990–1994)
Region: Rwanda
Involved:
- Rwanda: The Rwandan rebellions led by Paul Kagame
- Government forces: The Rwandan Armed Forces (FAR) loyal to President Juvénal Habyarimana that orepared genocide to kill tutsi in Rwanda.
Allies:
- Kagame : The Ugandan People’s Defence Force (UPDF) under Yoweri Museveni from Uganda
- FAR: France, which supported the Habyarimana government
Outcome: Rwanda won, overthrowing the government, ending the genocide, and establishing an Rwandan Army-led government.

2. First Congo War (1996–1997)
Region: Democratic Republic of Congo (DRC)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan Army
- DRC Government: The regime of Mobutu Sese Seko
Allies:
- Rwandan Army: Uganda, Burundi, and various rebel groups in the DRC (e.g., the Alliance of Democratic Forces for the Liberation of Congo - AFDL)
- Mobutu: China and France (providing support to Mobutu’s government)
Outcome: Rwanda won, overthrowing Mobutu and installing Laurent-Désiré Kabila as the new president.

3. Second Congo War (1998–2003)
Region: Democratic Republic of Congo (DRC)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan Army
- Uganda: The Uganda People’s Defence Force (UPDF)
- DRC Government: Joseph Kabila’s regime
Allies:
- Rwandan Army: Uganda, Burundi, and various rebel factions (e.g., RCD-Goma, M23)
- DRC: Zimbabwe, Angola, Namibia, and Chad (sending military support to Kabila’s government)
Outcome: Rwanda won strategically by supporting rebel groups. The war ended with a peace agreement, and Joseph Kabila took power in DRC.

4. Rwandan-Ugandan Conflict (1998–2003)
Region: Rwanda and Uganda (border regions)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan Army
- Uganda: The Uganda People's Defence Force (UPDF)
Allies:
- Rwandan Army: Congolese rebel groups (as in the Second Congo War)
- UPDF: Congolese rebel groups allied with Uganda
Outcome: No clear winner, but tensions were resolved, and relations between Rwanda and Uganda were normalized.

5. M23 Rebellion (2012–2013)
Region: Eastern DRC (North Kivu)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan military supported the M23 rebel group
- M23: Mainly Tutsi ethnic fighters who had previously served in the Rwandan Army
- DRC Government: The Congolese army (FARDC)
Allies:
- M23: Indirect support from Rwanda and Uganda (Rwanda’s involvement was largely covert)
- DRC: United Nations peacekeepers, including MONUSCO
Outcome: The M23 was defeated by the DRC army with the help of UN peacekeepers, although Rwanda's indirect support had strategic value for Rwanda.

6. Central African Republic (CAR) (2013–Present)
Region: Central African Republic (CAR)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan peacekeepers were deployed to support the CAR government
- CAR Government: The regime of President François Bozizé
Allies:
- Rwanda: French forces (as part of Operation Sangaris)
- CAR: International peacekeeping forces, including the African Union (AU) and the United Nations
Outcome: Rwanda's military has played a peacekeeping role, stabilizing the region and preventing further escalation.

7. Mozambique (2021–Present)
Region: Northern Mozambique (Cabo Delgado)
Involved:
- Rwanda: The Rwandan Defence Force (RDF)
- Islamist insurgents: The Ahlu Sunnah Wa-Jama (ASWJ) group, linked to ISIS
Allies:
- Rwanda: after Southern African Development Community (SADC) FAILED including South Africa and Zimbabwe, supporting peacekeeping efforts in Mozambique
Outcome: Rwanda won, after SADC failed and they playing a key role in recapturing insurgent-held areas and stabilizing the region that was captured with rebellian more and more years

Tanzania’s military primarily operates in peacekeeping missions and doesn’t actively align with militias or rebel groups.
 
Rwanda ya sasa sio Ile ya mwaka 2000.... angalia kazi zao hapo Msumbiji na CAR zinajieleza.
 
Samia anaipeleka nchi huko kwa kuua watu wenye mawazo tofauti na yake kwa kuwatumia hao watu wake “ wasiojulikana!”
 
Huu ni ushuzi
 
Usiwadharau aisee...

Umeona wanavyoitesa Drc na vikosi vya Monusco.
Drc inateswa sababu haina umoja within jeshi lao, kuna mgawanjiko.
Hao hao M23 wakipigwna na jeshi liko intact hawaendi mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…