Nasubir wataalam wajibu mana katika hali halisi haiingiii akilini mtu kujinyonga kituo cha polisiHIVI MTU ANAJINYONGA VIPI AKIWA KITUO CHA POLISI? MAANA VITU VYOTE HATARISHI HUWA VINAACHWA PALE KAUNTI YA WALA RUSHWA??!!
Rwanda unaruhusuiwa kuingia na vifaa vya kujinyongeaHIVI MTU ANAJINYONGA VIPI AKIWA KITUO CHA POLISI? MAANA VITU VYOTE HATARISHI HUWA VINAACHWA PALE KAUNTI YA WALA RUSHWA??!!
Yawezekana mwamba alipitia maumivu na mateso makali kabla hajang'ata shuka aiseeee...Nitakuwa wa mwisho KUAMINI kwamba Kizito kajinyonga... Nimeumia kama namfahamu... The cell room he was locked in has a story to tell
Jr[emoji769]
Very true kaka. The spirit of this person will never rest until justice is done. Walimbambikia kesi ya kwanza, lakini nafsi zao ziliwasuta kwakuwa yeye alijaribu kuwasemea Wahutu ambao sasa hivi wamekuwa victimised na mkono wa chuma wa PK. Wasipoangalia kifo cha Kizito kinaweza kuwa chanzo cha new dawn of Rwandan politicsHis soul will never resten in peace until justice is done... It will automatically turn into ghost that will haunt the killers wherever they go
Jr[emoji769]
Kama alivyojinyonga Lwajabe huko Mkurangamkuu wapi wamesema Kagame kumnyonga? kwa mjibu wa duru za habari zinadai Mwanamziki huyo amejinyonga akiwa kizuizini mikononi mwa polisi.
kwa akili yako ya utu Uzima unaweza kukubaliana na utetezi dhaifu Kama huo?mkuu wapi wamesema Kagame kumnyonga? kwa mjibu wa duru za habari zinadai Mwanamziki huyo amejinyonga akiwa kizuizini mikononi mwa polisi.