Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Ni kabinti hako Mkuu,Miaka 24, akili Bado,japo kule South Africa Kuna kichaa anaitwa Zodwa wabantu anatembeaga uchi kabisa Bora huyo wa Rwanda
Ili tujue kama kweli Ni chizi atembee uchi wa mnyama akiwa kwny siku zake,ili tumpe heshima yake kabisa mkuu
 
South Afrika ni mambo ya kawaida kabisa
JamiiForums-1158410903.jpg
 
Kwamba habari za kukamatwa kwake zilizua hasira kwa baadhi ya Wanyarwanda waliodai huo kuwa unyanyasaji wa Wanawake ?🤔

Yaani kwa kweli Mungu kama yupo anajionea mengi
 
Mambo mengine ya kijinga,acha kufananisha huo ujinga wake na hicho unachotaka kusema...... Mtoto wako akiwa anaangalia Picha hiyo anajifunza nini?
Hao pia hua ndio watetezi wa mashoga,na hutumia kauli hio hio.
 
Back
Top Bottom