Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Screenshot_20220821-222742.png

Screenshot_20220821-222130.png
 
Hawa watu wanapaswa kupewa majina makubwa ambayo yataaksi tabia yao.
 
Mavazi yanaendana na hali ya hewa, huwezi mfosi mtu avae tracksuit nyakati za joto akati kuna vimini!
Ndo wavae mpaka tight inaonekana kisa kuna joto
 
Na wewe kupost humu picha kama hii ni sawa na kufanya uhuni tu .
 
Hapa bongo hakuna shida. Cha msingi ukishatoa connection unawahi kuomba radhi inakuwa imeisha hiyo
 
Hapa bongo hakuna shida. Cha msingi ukishatoa connection unawahi kuomba radhi inakuwa imeisha hiyo
 
Kwa hiyo kuingilia maisha ya Wanawake ndiyo tozo itaondolewa? Au hao Wanawake ndiyo wanaoadhibu Watanzania kwa kuwapa maisha magumu kila siku?
 
Safi Sana nimeipenda hii inabidi na bongo ilete haiwezekani mtu atembee na taiti barabarani alafu Wana zingishia joto shenziiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom