Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

Petty issues, nchi masikini za watu weusi zina safari ndefu ya kufikia maendeleo.
 
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30

Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu wa Ufaransa Tayc, akiwa amevalia mavazi yenye kuonyesha sehemu za mwili wake

Habari za kukamatwa kwake zilizua hasira kwa baadhi ya Wanyarwanda waliodai huo kuwa unyanyasaji wa Wanawake, lakini Maafisa wa Serikali akiwemo waziri wa zamani wa Sheria Johnston Busingye waliunga mkono hatua hiyo

...................................................

A 24-year-old woman who was arrested in Rwanda for wearing "shameful" clothing faces up to two years in jail for "public indecency", prosecutors said Thursday. Liliane Mugabekazi was arrested on August 7 after she attended a concert by popular French musician Tayc eight days earlier, wearing a sheer dress.

"She attended the concert while wearing clothes that reveal her private parts... clothes that we call shameful," prosecutors said, accusing her of committing a "serious crime". "It is on these serious grounds that we ask the court to remand Mugabekazi for 30 days.

She is suspected to have committed public indecency," the spokesman for the prosecution, Faustin Nkusi, told AFP, adding that the court would announce on Tuesday whether she would receive bail.

News of the arrest sparked outrage among some Rwandans, but government officials including former justice minister Johnston Busingye backed the move.

Source: Citizen Digital
kapicha bc kauwo utupu
 
Petty issues, nchi masikini za watu weusi zina safari ndefu ya kufikia maendeleo.
Kumbe kutembea uchi ndiyo maendeleo?

Rais yupi Ke au Kiongozi yupi wa kike wa nchi yoyote aliwahi kutembea hadharani akiwa ktk muonekano wa picha mithili ya huyo Ke aliyefungwa jela miaka miwili Rwanda?
 
Kufuatulia watu wanavyovyaa ni mojawapo ya dalali za ujima, u primitive na kiwango kidogo cha ustaarabu.
Kumbe kutembea uchi ndiyo maendeleo?

Rais yupi Ke au Kiongozi yupi wa kike wa nchi yoyote aliwahi kutembea hadharani akiwa ktk muonekano wa picha mithili ya huyo Ke aliyefungwa jela miaka miwili Rwanda?
 
Nimetafuta hio concert sijaiona inaonekana rwanda wapo makin sana kwenye haya mambo
 
20220819_212148.jpg
20220819_212144.jpg
 
Uyu alishakua kwny rada za watu wa serikal, Alikua anataftiwa timing TU aliwe kichwa
images-1009.jpg
 
Back
Top Bottom