Hapa kwetu, soon tutatembeza nyapu zetu nje njeSafi Sana nimeipenda hii inabidi na bongo ilete haiwezekani mtu atembee na taiti barabarani alafu Wana zingishia joto shenziiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kwetu, soon tutatembeza nyapu zetu nje njeSafi Sana nimeipenda hii inabidi na bongo ilete haiwezekani mtu atembee na taiti barabarani alafu Wana zingishia joto shenziiiiiiiiiiii
Na wewe Kwanini uliiangalia uhuni huoNa wewe kupost humu picha kama hii ni sawa na kufanya uhuni tu .
Because the fvcken Rwandan women are born beautiful.Why the fvck are Rwandan Women so beautiful?
Nimekuja kusoma habari tu na si kutazama picha ,nakazia hiyo picha ya kihuni na aliyeweka mhuni na wanaosaapoti wahuni.Na wewe Kwanini uliiangalia uhuni huo
Vimini ni mavazi ya ngonoMavazi yanaendana na hali ya hewa, huwezi mfosi mtu avae tracksuit nyakati za joto akati kuna vimini!
Itakua kama USAHapa kwetu, soon tutatembeza nyapu zetu nje nje
Daaa iyo ya kwenye picha hiyo hata hapa TZ UKIVAA wanakuzingua,
daaah, hii picha mimi hoi
Amka dogo unaotaWhy the fvck are Rwandan Women so beautiful?
Mnavyojua kukimbilia hayo "Mtoto wako this, Mtoto wako that" sasa Mtoto ilikuaje hadi ukamruhusu kuangalia picha za uchi?? Sio kama wewe Mzazi ndio umefeli kwenye malezi,Mambo mengine ya kijinga,acha kufananisha huo ujinga wake na hicho unachotaka kusema...... Mtoto wako akiwa anaangalia Picha hiyo anajifunza nini?