Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

Nilisema ile hija ilikuwa ya mapema mno kwa mr presdent sasa kagsndsmizia yote ya kagame twafwa.
 
Kwani nini cha ajabu kutemwa kwa huyu mama!
Ubunge ni wa mtu mmoja au?
Kuna watu wapo magerezani hawana hatia wamesingiziwa kwa kesi za kisiasa ndiyo tuwatete.
Huyu mama apumzike.
 
 
....sasa na mimi nasema kakatwa sababu anajiita Rais wa Mbweni wakati Rais ni mmoja tu;
...kwani alipochaguliwa mwanzo si kwa mbeleko?
.akafanye ishu nyingine,hiyo ndo siasa!
alichaguliwa kwa kura nyingi mwanzo na hata sasa alichaguliwa kwa kura nyingi vile vile. Nyie mnaomshambulia bila sababu ndio mnaji expose.
 
alichaguliwa kwa kura nyingi mwanzo na hata sasa alichaguliwa kwa kura nyingi vile vile. Nyie mnaomshambulia bila sababu ndio mnaji expose.
...narudia,alichaguliwa mwanzo kwa mbeleko;na wapo waliolialia,
...sasa ni zamu yake!
..hiyo ndo siasa,
.period!
 
We mama unafikiri upo pekeee yako. Kapike ujiii .mwache President apige kazi. Mlikuwaa 400 na usheeee what so special about you. Au umekopaa ukatoaa rushwaaa . Unaboaaa
 
Eesy come, easy Go....
No longer at easy....
What comes around goes Around....

Sijui kama nimepatia kidhungu Dada ShyRose.
 
Nadhani hii inaleta shida sababu yeye alikua bado anagombea nafasi..its like mkulu akatwe kichwa 2020!..utavyolia mkuu!!
 
Nadhani hii inaleta shida sababu yeye alikua bado anagombea nafasi..its like mkulu akatwe kichwa 2020!..utavyolia mkuu!!
Mkuu;
Ningeelewa angalau kidogo kama angekuwa bado ni Mbunge wakati jina lake linakatwa. Kisheria na kikanuni kwa sasa siyo Mbunge tena kwa sababu kipindi chake kimefikia kikomo ndio maana kuna mchakato mwingine wa kuteuwa wagombea ubunge.

Kama hii ndio hoja yake basi kulikuwa hakuna umuhimu wowote wa kufanya mchakato mpya kutafuta wagombea ubunge wa EAC.

Mkulu ni nani? Kama una maana ya Rais Magufuli basi elewa kuwa nitamshangaa hata yeye kama akikatwa na kuanza kulalamika kwa sababu huo ni utaratibu ambao CCM wamejiwekea katika kutafuta wagombea.
 
kwani ubunge unasomewa...arudi kwenye professional yake........hana agenda mpya ...ni zamu ya wengine...akumbuke hata yye alipopata nafasi ya kuingia yalisemwa mengi....na kuna mtu alitoka yye akapata nafasi basi ni zamu yake kutoka mwingine apate nafasi.....ule ni ubunge sio umalkia
 
Hoja sio yeye kukatwa hoja ni kukatwa bila kuzingatia utaratibu. Kwa namna ambavyo imefanyika mchakato mzima hauna maana kwani mwenyekiti anaweza kuamua nani akatwe na sio kikao.
 
Hoja sio yeye kukatwa hoja ni kukatwa bila kuzingatia utaratibu. Kwa namna ambavyo imefanyika mchakato mzima hauna maana kwani mwenyekiti anaweza kuamua nani akatwe na sio kikao.
Utaratibu upi huo?

Unaujua utaratibu wa CCM katika kutafuta wagombea wa Ubunge kwenye EAC?

Ulikuwepo kwenye kikao au unajenga hoja kwa kutumia fikra/angalizo la upande mmoja na mitandao ya udaku?
 
Utaratibu upi huo?

Unaujua utaratibu wa CCM katika kutafuta wagombea wa Ubunge kwenye EAC?

Ulikuwepo kwenye kikao au unajenga hoja kwa kutumia fikra za upande mmoja na mitandao ya udaku?
Sawa fikra za upande mmoja, je huyou wa upande wa pili anasema nini? Nini sababu rasmi za kumkata jina mtu aliyepitishwa kwa kura? Hizi kauli za "fikra za upande mmoja" ndio zile zile ya Mwakyembe juu ya sakata la clouds hazibadilishi kitu!
 
1. sio professional ni profession.
2. Aliingia kwa utaratibu, anatakiwa atoke kwa utaratibu as well. Na ni nani huyo aliyetoka? Lemutuz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…