MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwahiyo hilo dege bovu la DRC liliachwa lijimwaye mwaye tu kwenye anga la banyarwanda bila kutupiwa hata risasi ya gobore,hii imekaaje bwana GENTAMYCINENo military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.
Sukhoi 25, jeshi la Congo limedai zikiwa mbili zinaweza kuibadilisha Kigali kuwa majivu ndani ya masaa mawiliHivi congo nao wanafighter jets? Maajabu!
Labda yale ma migs chakavu ya urus Lumumba aliyoyaacha.
Hayo hayo ma-screpa ya enzi za vita baridi ya Ussr ya kale.Hivi congo nao wanafighter jets? Maajabu!
Labda yale ma migs chakavu ya urus Lumumba aliyoyaacha.
Hahaha wametuma salamSafari hii wacongo wamechoka kuwa wanyonge,duh
Tunaweza kuamka na habari mpyaWacongo wameshamjua mchawi wao na wamechoka kupambana na mbwa(vikundi vya kihuni vya tolu) sasa wanamtaka mwenye mbwa(tolu) na Katika hii vita nipo upande wa Congo
Sukhoi 25 sifa yake ni zinabeba mabomu makubwa kweli kweli.Sukhoi 25, jeshi la Congo limedai zikiwa mbili zinaweza kuibadilisha Kigali kuwa majivu ndani ya masaa mawili
Wacongo walitua wakala bata masaa mawili baada ya kuondoka wanyarwanda ndio wakashtukaKwahiyo hilo dege bovu la DRC liliachwa lijimwaye mwaye tu kwenye anga la banyarwanda bila kutupiwa hata risasi ya gobore,hii imekaaje bwana GENTAMYCINE
Bonge la #action hilo dadek.....Wacongo walitua wakala bata masaa mawili baada ya kuondoka wanyarwanda ndio wakashtuka