Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

Rwanda Wailaani DR Congo kwa ndege yao ya kivita kutua Rwanda

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
FB_IMG_16678405584249585.jpg

Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame atakubali huu utoto.

Bila shaka ndiyo kipenga kimepulizwa hivyo.

#BREAKING: Rwanda says a fighter aircraft from DR Congo violated its airspace on Monday and briefly landed at Rubavu Airport in Western Province.

“No military action was taken by Rwanda in response, and the jet returned to DRC," a statement said.

Ndayshimiye ameona aitishe kikao saa nane usiku kuokoa jahazi lakini tabu iko palepale.
FB_IMG_16678794642896439.jpg
FB_IMG_16678794704357563.jpg
FB_IMG_16678794577613522.jpg
FB_IMG_16678794517096670.jpg
FB_IMG_16678794704357563.jpg
FB_IMG_16678794448378088.jpg
 
Yule mfalme wa Belgium King Leopold III aliwaharibu wa Kongo kwa kuwafanya watu wa kupenda starehe na anasa. Unafika wakati huoni tofauti kati ya mwanaume na mwanamke maana wote hunyoa nyusi, hujichubua kwa mkorogo na hukata mauno.

Haiwezekani Taifa lenye watu zadi ya 70 Milioni liwe lina lialia tu dhidi ya Rwanda yenye watu 15 Milioni. Haiingii akilini kabisa
 
Imetoka ulaya inakuja AFRIKA,mzungu ni kiumbe kibaya kuwahi KUWEPO duniani.chakushangaza ndo wamemuasisi Godfrey.sorry the almighty.
 
Back
Top Bottom