Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Mkuu,kipindi mtume analeta mambo ya adhana, kulikuwa Na spika duniani?? Si walikuwa wansema Kwa mdomo Tu...ambayo sio Kelele.


Sasa kama spika ilivyogunduliwa duniani waislam waliweza kumodify adhana baadae Na kuanza kutumia spika kinyume Na alivyofanya mtume Kwa mdomo
kwanini Na sasaivi wasimodify wakaanza kutumia simu?
Yani Kila muumini aweke ringtone ya adhana itakayolia Kila ifikapo Muda wa swala
 
Sina mamlaka hayo ila MUNGU mwenyewe tu akiamua sekunde nyingi tunafukia.
Hauwezi kumpinga MUNGU ukabaki salama.
Dah masikini....inasikitisha.
Lakini Mzee hayo mamlaka unayo.
Kwani ukivaa mabomu ukaenda kumlipua Kagame Kazi si inakuwa imeisha?? Waislam wa rwanda watapata kheri Na Wewe utaenda kupata thawabu mbinguni
 
Unajua kilichowapata kaumu luti?
Watu wa nabii nuhu? Nk
Watu wameanza kumchukia Mungu Kabla hata mtume wako hajazaliwa...

Huyo Mungu kama tukimchukia dunia inaisha basi hata Sisi tusingeikuta
 
Sio kesi Usisahau mikutano ya siasa pia wafanyie ndani kwenye sound proof ikiwemo ya chama chake

Matangazo ya barabarani ya magari marufuku pia iwepo
inafanyikaga asubui
 
Hata bila mabomu huyo anaweza kuondoka.
Ni KUN FAYA KUN.
yaani Mungu akisema kuwa Basi inakuwa.
Na uenda waislam wa Rwanda hawajaamua kukaa kikao.
Ni suala la sekunde .Mungu anasubiri waislam wa Rwanda watasema Nini
Dah masikini....inasikitisha.
Lakini Mzee hayo mamlaka unayo.
Kwani ukivaa mabomu ukaenda kumlipua Kagame Kazi si inakuwa imeisha?? Waislam wa rwanda watapata kheri Na Wewe utaenda kupata thawabu mbinguni
 
Hujaelewa, kagame hajazuia adhana ila amezuia kutumia maspika kuadhini. Naona yuko sawa kabisa. Mambo ya kupigia watu makelele tena kwa kiarabu ni utovu wa nidham.
 
Kagame awe makini wasianze kujitoa mhanga kwa kujilipua mabomu huko...
nchi imewekwa vzr sn kias kwamb mtu mgeni atajulikana tu plus ana intellijensia bora sana ndan ya nchi yake
 
Bila Shaka utajua.
Uzima usikupe kiburi na kudharau maneno ya Mungu.
Allah akbar maana yake "MUNGU NI MKUBWA"
kusema mungu NI MKUBWA ni kelele?
Je,nikishaifahamu ndipo nitaelewa sababu za kwanini nipigiwe kelele alfajiri?
 
kumbuka asili ya adhana ni uarabu ambapo enz hizo waislam walikuwa 80% tofauti na huku mnapoipigia debe
 
Kagame is genius
 
Hata bila mabomu huyo anaweza kuondoka.
Ni KUN FAYA KUN.
yaani Mungu akisema kuwa Basi inakuwa.
Na uenda waislam wa Rwanda hawajaamua kukaa kikao.
Ni suala la sekunde .Mungu anasubiri waislam wa Rwanda watasema Nini
Naona wamekaa kimya...inabidi waislam wa Tanzania waingilie Kati...Mzee ukitaka mabomu Mimi nna connection ya kuyapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…