Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Hata zanzibar mwezi wa ramadhan haki ya kula chakula inaminywa
 
Hamna kitu kinaitwa Mungu
 
Mi si muumini sana wa kelele haijalishi n ya nn.
Ya jema ama baya
Kiufupi sauti zilizopitiliza zizuiwe iwe sauti ya kusikilizana ndani tuuu yan ndani ya jengo ikiwezekana wajiwekee sound proof wajipgie kelele vile wanataka kama clubs. Hii n kwa makanisa na misikiri na bar mbalmbal
 
kagame anakaribia kustaafu au kuachia madaraka so msije mkaunganisha dots kwa lolote pili Kagame yupo swwa hajakosea lolote , hv ungejisikiaj kungekuwepo na kanisa la rc na la walokole kisha msikiti mkiwa mnaswali kwa utulivu hiku walokole wanakemes mapepo kwa kutumia vipaza sauti pia wa roma wanaimba kwa sauti kubwa , Mngejihisije ?
 
Waislamu Simu wanazo waweke alarms ziwaamshe
Waislamu Walichekelea walokole walipopigwa marufuku kutumia spika

Na katoliki nao waache kugonga kengele zao zinaleta kelele

Pia bar marufuku hiyo wapewe na mkutano ya kisiasa iwe marufuku kutumia spika
Mwendo wa kimya kimya sio
 
Hata bila mabomu huyo anaweza kuondoka.
Ni KUN FAYA KUN.
yaani Mungu akisema kuwa Basi inakuwa.
Na uenda waislam wa Rwanda hawajaamua kukaa kikao.
Ni suala la sekunde .Mungu anasubiri waislam wa Rwanda watasema Nini
[emoji16][emoji16][emoji16] aisee waambie wajiandae kwa kunji.
 
No wonder waliuana hawa
Adhana ni alarm zetu wengine
I love the sound and i wake up to pray
 
Baltimayo kwenye Bibliia alisali kwa kupiga makelele miyowe Yesu mwana wa Daudi unirehemu .Maombi yake yakasikilizwa na Yesu akamponya
Baltimayo hakusali bali alikuwa akimwita Yesu kwa sauti kubwa ili aje aponywe upofu wa macho.

Pia Mungu huwa habadiliki kamwe yani akukataze jambo lolote kulitenda kisha akuruhusu jambo hilo hilo kwa namna nyingine.

WAEBRANIA 13:8
"Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele."

Soma tena vizuri Biblia upate maarifa.

UFUNUO 22:18-19.

Usije ukajichumia dhambi ya kukuadhibu milele.
 
down fall baada ya kupiga marufuku makele,hongera mtabiri
 
Wavaa makobazi eti mpaka waamshwe kama watoto wadogo kuswali

Sawa na mtoto mdogo kuamshwa asikojie,
Sipati picha shekhe Abdullah jinsi atakavyopitiliza mpka saa 3 asubuhi.
 
Tunaishi ulimwengu wa kidigitali, watu waweke alarm kwenye simu zao kama wanataka kuwahi misikitini
 
Kwenye masuala ya imani hatuwezi kuamini wala kuwa na mawazo yanayofanana maana kila mtu/muamini ana Mungu wake anayemuamini ambaye anatofautiana na Mungu wa mwingine. Hivyo usilete generalization kuwa Mungu wako ndie Mungu sahihi kwa wote anayepaswa kupewa utukufu, sifa, heshima na wote utakuwa unakosea. Mbona haulaani kitendo cha PK kuwabana mbavu WaKristo?.

Tuishi kwa amani na upendo huku hizi tofauti za kiimini tusizipe nafasi ya kujenga chuki miongoni mwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…