Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mimi nimesema Dini Bora ni ipi ?Usipende kubishana ipi dini bora na ipi sio bora dini zote zimekuja na Meli na mitumbwi Waafrika walikua hawana dini tuishi kwa kuamini na kwa upendo tuliorithi kutoka kwa mababu zetu baasi lakini ukimuona mtu yupo busy kuelezea ubora wa dini yake kupitia vifungu jua anapotea..
Kagame anasomaga manovel ya Tom clancy,, Mark Greaney, etc , ndo maana anajiamini sana,, yaani ukimchezea anakufanya kitu mbaya, [emoji16]Paul kagame noma. Ingekuwa tz tungepga kelele knoma
Yule ni mtu wa motoni tayari kwa matendo yake ya kusababisha mayatima na wajane kwenye Jamii.Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
Jehannam Yenu waislam inamuhusu vipi Kagame ambae Ni mkristo?Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
Ndio nakwambia,sio haki Kwa waislamu kupigia watu kelele asubuhi Kwa adhana,pia Kwa wa RC kuamsha watu na makengele,pia Kwa madhehebu mengine yanayopigia kelele watu!Compromise ndio inajenga haki kinyume chake ni chaos and turmoils .
Sio kweli.Wana ajenda nyengine,adhana ina ladha ya kusikilizwa hata kwa asiyekuwa muislamu.Kwa viumbe vyote ni ushahidi wa kuelekezwa kwenye ibada kabla siku ya mwisho kuwadia.Hivyo adhana inaacha ushahidi hata kwa Kagaame kuwa aliisikia na akashindwa kufuatilia maana hivyo aswekwe kwenye jahannam kwa nguvu na bila huruma.
We wacha hizo. Jahannam ni kwa kila binadamu aliyeshindwa kutumia akili zake vizuri.Akashindwa kujisoma na kusoma dini ipi ni ya haki. Wewe unakula na kutumia vitu vya muumba halafu unajitia hamnazo na humtambui yeye,Hawezi kukuacha hata siku moja.Jehannam Yenu waislam inamuhusu vipi Kagame ambae Ni mkristo?
Ndio nakwambia,sio haki Kwa waislamu kupigia watu kelele asubuhi Kwa adhana,pia Kwa wa RC kuamsha watu na makengele,pia Kwa madhehebu mengine yanayopigia kelele watu!
Hizo ni favours na siku zikizidi zikawa kero zaidi zinaweza kuondolewa kama Rwanda walivyofanya na kusiwe na wakuleta chokochoko!
Ni mwendawazimu pekee atakayeenda kujilipua kisa amezuiwa kupigia watu makelele!
Ndio nakwambia,sio haki Kwa waislamu kupigia watu kelele asubuhi Kwa adhana,pia Kwa wa RC kuamsha watu na makengele,pia Kwa madhehebu mengine yanayopigia kelele watu!
Hizo ni favours na siku zikizidi zikawa kero zaidi zinaweza kuondolewa kama Rwanda walivyofanya na kusiwe na wakuleta chokochoko!
Ni mwendawazimu pekee atakayeenda kujilipua kisa amezuiwa kupigia watu makelele!
Maneno mengi si ni ya ukweli mtupu.
Adhana haina mantiki yoyote hata kwa tafsiri yake ukiachana na kusumbua watu wengine.
Mi nakuambia ingekuwa Dini ya Kiislamu inatamka ibada zake kwa Kiswahili ingekuwa ni vichekesho tu
Mnachoogea ni tofauti na kinacho dhaniwa.
Wa fikiria mtu ana amka asubuhi na kupiga kelele;
Allah mkubwa... Allah mkubwa... Allah mkuwaaaa
Rwanda wamefanya,ngoja tustudy mwelekeo wao,pengine tutajifunza Toka kwao na kuadopt au tutaachana na Mpango kama wake!Na ni mwendawazimu yule atayeongoza nchi na asijue mahitaji tofauti ya jamii ya watu wake na asiweke compromise
Nami nasema ni kiongozi mwendawazimu na asiyejua uongozi yule ambaye hatoangalia social fabric ya jamii zake na akashindwa ku compromise permanently juu ya mahitaji yao ambayo yakiathiriwa yanaweza kusababisha social chaos, sasa you either choose chaos and instabilities and short anxiety sleepless nights or peace and harmony
Matatizo mengi ya ukabila katika baadhi ya nchi chanzo ni vitu kama hivyo, hapo nampa credit nyerere kuifanya Tz iwe hivi ilivyo japo wapo watu wasiojua thamani ya Compromiise na wangependa misuguano na vita.
Adhana piga nyumbani kwako
Rwanda wamefanya,ngoja tustudy mwelekeo wao,pengine tutajifunza Toka kwao na kuadopt au tutaachana na Mpango kama wake!
Rwanda wamefanya,ngoja tustudy mwelekeo wao,pengine tutajifunza Toka kwao na kuadopt au tutaachana na Mpango kama wake!
Uhuru wako wa kuabudu usiingilie uhuru wa wengine!Masuala ya kuoa ni mfano mfu kwani ni mambo binafsi yasiyoingilia uhuru wa wengine!Hakuna positive cha kujifunza huko, ni dhuluma tu hiyo, ni jamii ya waisilamu walio wachache kukandamizwa kiimani na utawala wa kidikteta usiojali haki za watu za kuabudu, hicho ni kitu cha hovyo kinachoweza kuamsha chuki za kiimani dhidi ya utawala, kama utawala unaweza kuingilia the basic tenets za dini si ipo siku utawala utasema mapadri wote wanatakiwa waoe au ni marufuku kwa Waisilamu kuoa mke zaidi ya mmoja!!---- that's the beginning of a vicious cycle and if not stopped it will keep on circling to other rituals.
Kama inavyofahamika Adhana ni sehemu inayohusiana na ibada kubwa kuliko ibada zote katika dini ya Uisilamu, ibada ya swala, kuzuia adhana ni ku cripple ibada hiyo, makalamiko ya kelele ni baseless ukizingatia tunaishi katika mazingira 7/24 yaliyojaa kelele za aina mbalimbali za magari, honi, miziki, mibweko ya mbwa nk, hizo zote hazionekani ni kelele isipokuwa adhana ya dk1 ndio kelele!!!?---- kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Uhuru wako wa kuabudu usiingilie uhuru wa wengine!Masuala ya kuoa ni mfano mfu kwani ni mambo binafsi yasiyoingilia uhuru wa wengine!
Mifano Yako sio hai!Hayo yote uliyotolea mifano hayafanani na hoja husika ya kupigia watu makelele!Mtu aseme aweke Spika kubwa nyumbani Kwake halafu afungulie mziki mkubwa usiku kucha halafu aachwe kisa Yuko huru?Sema hivi; "uhuru wangu wa kuabudu unaishia pale uhuru wako unapoanzia"--- hii ndio kauli murua isiyokuwa na SHARI.
kuoa ni suala binafsi sasa utawala unaposema watu wote walale kuanzia saa 12 jioni, hapo kutakuwa na uhuru binafsi??, utawala ukisema wanawake wengi hawana waume na kila mtu yeyote rijali lazima aoe hapo kutakuwa na hiyari??, halikadhalika utawala ukisema; ni marufuku kuoa mke zaidi ya mmoja kutokana na uhaba wa wanawake, hapo unayo hiyari kwakuwa wewe. ni muisilamu??!!
Mbona Rwanda wamezuia na haiwi chochote!!Adhana itaadhiniwa kama kawaida, na itaendelea hivyo hivyo, kama uwezo wa kuzuia unao fanya basi [emoji16]
Mbona Rwanda wamezuia na haiwi chochote!!
Mifano Yako sio hai!Hayo yote uliyotolea mifano hayafanani na hoja husika ya kupigia watu makelele!Mtu aseme aweke Spika kubwa nyumbani Kwake halafu afungulie mziki mkubwa usiku kucha halafu aachwe kisa Yuko huru?
Ndio maana hata club za usiku Zina utaratibu wake kuhusu masuala ya sauti!Sema tu rushwa imetawala na watu wanapiga mziki usiku kucha kwenye maeneo ambayo hayana sound proof!
Hizi dini zinavumiliwa tu na kelele zao wanazowaletea watu majumbani,na wao wanatakiwa kuelewa sio haki Yao Bali ni favour tu!
Na haya mambo Yako uswahilini tu,nenda Kwa mitaa ya matajiri huko uone kama Kuna hayo makelele!