Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Sio kesi Usisahau mikutano ya siasa pia wafanyie ndani kwenye sound proof ikiwemo ya chama chake

Matangazo ya barabarani ya magari marufuku pia iwepo
Wewe sijui dini gani lakini hoja zako zina mashiko.
 
Hivi? RWANDA ni nchi ya ngapi? Kwa maendeleo/miundo mbinu/utajiri AFRICA
 
Ndio mshaguswa Sasa,mnatakaje?
Hii ni tahadhari tu kwa wale wanaoita adhana ni kelele.Yapo tunayotaka sisi lakini anayotaka Allah ndiyo mtakayoyaona na kuwapata popote mnapojificha. Muulize Abraha na Firauni.
 
Hii ni tahadhari tu kwa wale wanaoita adhana ni kelele.Yapo tunayotaka sisi lakini anayotaka Allah ndiyo mtakayoyaona na kuwapata popote mnapojificha. Muulize Abraha na Firauni.
Hao washkaji nawapatia wapi ili niwaulize?
 
Tolerance haimaniishi uniharibie usingizi alfajiri yote, kama binadamu tumekubaliana kuishi pamoja licha ya tofauti zetu za kiimani na kiitikadi, ila tusibughudhiane, abudu unachokiabudu huko kwa amani bila kuniharibia mambo yangu, usinilazimishe kuabudu hicho unachokiabudu, nikitaka mwenyewe nitakuhoji kukihusu na labda nijiunge tukiabudu sote, nakumbuka nikiwa kijana nusra nijiunge uisilamu kisa mnaruhusiwa kuoa wanawake wengi, uchu wa ngono ndio ulikua unaniongoza.


Suala sio usingizi suala ni adaptability inayotokana na tolerence, ukiji adapt unaweza kupata huo usingizi popote, mtu anaweza kulala/kupata usingizi hata akiwa kasimama majini sembuse kulala kitandani na asumbuliwe na sauti aliyoizoea??!!, mimi nimekupa mifano hai lakini hutaki kunielewa kwadababu u mkaidi sana, juu ya adaptability ya mtu mimi ninaishi kando ya miongoni.mwa barabara the busiest about 15-20metres from which my house situates, mwanzoni
Nilipokuwa mgeni nilipata shida kidogo lakini leo hata sisumbuki na milio ya magari yanayopita 7/24 kwasabu nimeji adapt na mazangira hayo ni hivyo hivyo kwa sauti ya adhana ambayo inadumu kwa kama dk 1 hivi na kidogo.

Wazungu ndio wameendelea kuliko sisi katika mambo mengi mbona hatujawasikia wakipinga adhama au kengele za makanisani nk,??, ni ma atheists ndio wenye tabia za madai ya kupenda usingizi na starehe za kimwili ndio wanaopinga mambo ya dini.

Unasema ulitaka kuingia uisilamu sababu ya sheria ya kuoa wake wengi!!!, --- wewe ni kituko kwelikweli kwani waisilamu wamelazimishwa kuoa wake wengi?? Ukitaka kuoa mke zaidi ya mmoja hiyari yako na utawajibika kufuata masharti yake pia.

Bwana Yesu hakuoa sasa wewe fundisho la kuoa umelipata wapi?? si bora ungeishi kama yeye kuliko kufuata fundisho la kiislamu la kuoa, Isitoshe ile hamu ya ngono iliyotaka kukusukuma uingie uislamu imepotelea wapi?? au sasa hivi unaendekeza michepuko??!!🤣
 
Back
Top Bottom