Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Kwanini Allah mda wote ni ku deal na mayahudi na wakristo, alikuwa hajui duniani Kuna dini nyingine nyingi tu?

إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

فَإِنْ حَاجُّوكَ فَقُلْ أَسْلَمْتُ وَجْهِيَ لِلَّهِ وَمَنِ اتَّبَعَنِ ۗ وَقُلْ لِلَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ وَالْأُمِّيِّينَ أَأَسْلَمْتُمْ ۚ فَإِنْ أَسْلَمُوا فَقَدِ اهْتَدَوْا ۖ وَإِنْ تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ
Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.

إِنَّ الَّذِينَ يَكْفُرُونَ بِآيَاتِ اللَّهِ وَيَقْتُلُونَ النَّبِيِّينَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَيَقْتُلُونَ الَّذِينَ يَأْمُرُونَ بِالْقِسْطِ مِنَ النَّاسِ فَبَشِّرْهُمْ بِعَذَابٍ أَلِيمٍ
Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie adhabu kali.

أُولَٰئِكَ الَّذِينَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمَا لَهُمْ مِنْ نَاصِرِينَ
Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.

أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَىٰ كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّىٰ فَرِيقٌ مِنْهُمْ وَهُمْ مُعْرِضُونَ
Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.

ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لَنْ تَمَسَّنَا النَّارُ إِلَّا أَيَّامًا مَعْدُودَاتٍ ۖ وَغَرَّهُمْ فِي دِينِهِمْ مَا كَانُوا يَفْتَرُونَ
Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya katika dini yao yale ambayo wenyewe waliyo kuwa wakiyazua.

فَكَيْفَ إِذَا جَمَعْنَاهُمْ لِيَوْمٍ لَا رَيْبَ فِيهِ وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ
Basi itakuwaje tutakapo wakusanya Siku ambayo haina shaka kuja kwake? Na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
 
Kasome vizuri adhana haijabuniwa.

Kwa maelezo ya hadhithi inaonyesha kabisa kuwa, kulikuwa na haja ya kupatikana namna ya kuwaita watu katika swala, ndio maana zilitolewa rai tofauti.

Sasa unaposema mtu fulani alibuni, sijui unakusaidia nini? adhana yenyewe au uwepo wa adhana?

Na kama ni adhana yenyewe (maneno yake) basi kasome vizuri maana haikubuniwa, ili kuja kwa maneno yake kama ilivyo kasome ilikujaje.
Umar ndie alibuni mtu kuita watu, na Umar Kuna verse kazitunga pia
 
Kwanini Allah mda wote ni ku deal na mayahudi na wakristo, alikuwa hajui duniani Kuna dini nyingine nyingi tu?
Kwa sababu mnahiyo sifa iliyotajwa hapo juu.

Hata wewe mwenyewe si unajiona unavyohangsika na uislamu.

Au unawalingania watu kuwa uislamu ni mbaya ili wawe akina nani? wapagani?
 
Kwa sababu mnahiyo sifa iliyotajwa hapo juu.

Hata wewe mwenyewe si unajiona unavyohangsika na uislamu.

Au unawalingania watu kuwa uislamu ni mbaya ili wawe akina nani? wapagani?
Uislamu unajilingania wenyewe , Mimi naweka verse na Hadith

Kama wewe hapa unapinga Umar sio mtunzi wa mtu kuita watu ,nachofanya nikiweka ukweli mnapo weka uongo
 
Mtunzi wa adhana ni Umar , Allah ka copy kutoka kwake, sio adhana tu Umar ana verse kazitunga kwenye Koran
Wakati mwingine uwe unbalance chuki, uone na aibu, yaani unadanganya hata mambo yaliyowazi.

Kwa hiyo kama huyo unayemsema ana vesres alizozitunga katika Quran, kwa hiyo Quran ni maneno ya nani? na yeye huyo ni nani?
 
Koran ina maneno ya watu wanaongea , siafu, majini, Umar, shetani, na Allah

Verse ya hijabu mtunzi ni Umar
 
Koran ina maneno ya watu wanaongea , siafu, majini, Umar, shetani, na Allah

Verse ya hijabu mtunzi ni Umar
Aya zinazosema Quran ni maneno ya Allah zipo nyingi sana.

Nitajie aya moja tu inayoonyesha imetungwa na Umar?

Na huyu Umar ndiye nani?
 
Aya zinazosema Quran ni maneno ya Allah zipo nyingi sana.

Nitajie aya moja tu inayoonyesha imetungwa na Umar?

Na huyu Umar ndiye nani?
Sio moja ngoja nikupe tatu
Umar anatamka verse inakuja kama alivyo tamka

Umar said: I agreed with my Lord on three matters, I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , why don't we take the Maqam of Ibraheem as a place of prayer? Then the verse was revealed: And take you(people) the Maqam (place) of Ibraheem (Abraham) [ or the stone on which Ibraheem (Abraham) stood while he was building the Kabah]as a place of prayer [al Baqarah 2:125]. And I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. And the wives of the Messenger of Allah ﷺ got together as a result of the jealousy between them, and I said to them. It may be if he divorced you(all) that his lord will give him instead of you, wives better than you[at Tahreem 66:5], and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Aya zinazosema Quran ni maneno ya Allah zipo nyingi sana.
Aya ni maneno ya Allah au shetani?

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
 
Aya ni maneno ya Allah au shetani?

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
ukiendelea kujifunza kwa style hii hutaelewa utakuwa hunatofauti na ZWAZWA
 
ukiendelea kujifunza kwa style hii hutaelewa utakuwa hunatofauti na ZWAZWA
Ni vyema ukajibu punguza kupaniki

Aya ni maneno ya Allah au shetani?

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
 
Aya ni maneno ya Allah au shetani?

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
Kazi ipo!

Hii komenti ni yakwako, wewe ndiye umeiandika, sasa kwa kuwa umeinukuu Quran basi tayari nayo ni maneno yako?

Sasa kama Quran sio maneno yako, hivyo hii komenti sio yako?
 
Kazi ipo!

Hii komenti ni yakwako, wewe ndiye umeiandika, sasa kwa kuwa umeinukuu Quran basi tayari nayo ni maneno yako?

Sasa kama Quran sio maneno yako, hivyo hii komenti sio yako?
Unataka kusema haya maneno ni ya nani

Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.

Uneshaona Aya 3 za Umar au nikuongeze nyingine
 
Hayo ni maneno ya Allah subhaanahu wataa'la.
Nimecheka huyu ni Allah anasema atawavizia
Koran 7:16. Shetani akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
 
Na bahati mbaya kweli kweli nimejenga kakibanda kangu sehemu na sina furaha kabisaa kwa kelele

Nyuma yangu kuna msikiti halafu sijui kwanini huwa hawaweki hata spika za kisasa zenye mlio usio umiza sana kwa makelele
Vispika vile wakianza Adhana hiyo alfajiri utadhani wameviweka dirishani kwangu nikele balaa

Kulia kwangu kuna kanisa la walojole aisee
Yaani hawa viumbe jumapili wanapiga “masebene ya Yesu” ni hatari, maspika yanadunda upo nyumbani kwako lakini utadhani upo kwenye tamasha la papa mpao

Kwakweli kuna haja ya kuwadhibiti hawa watu kwakweli wanakera sana
Uza hapo uhame ndugu.
Maeneo yapo kibao pembeni ya mji.

Hapo licha ya makelele, utapishana na Majini kila siku yanayoenda na kurudi kuswali Msikitini.
Na unajua athari zake.
Hama haraka ni eneo hatari sana hilo.
 
Back
Top Bottom