Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Mchungaji kajifunze kusoma na kufahamu English..

Hii hadith ni kuhusu Aisha alikataza kuzungumza na mmoja wa watu walioingia ukumbini kwake,kwavike huyu jamaa walipita mitaani kumsingizia kitu

Wake watu walimuomba Aisha aongee na Yule mtu,Walimkumbusha Aisha kuwa Mtume aliwambia Waislam ni lazima wasalimiane,isipite siku tatu bila kusalimiana..

Ndipo hapo Aisha alipokubali kuzungumza na yule mtu kwasababu kala kiapo,cha kuwasalimia waislamu wenzake, ,kosa la Waislam kutosalimiana ni kutoka Watumwa 40

kila hadithi ina maana yake katika Syria za Kiislam..

Sheria hii au kiapo hichi ni katika njia za Uislam kuwaachia Watumwa huru
 
Usipoteze mda kuelezea kitu kipo wazi ,

Kama mke mmoja tu wa muhammad aliweza kuachia watumwa 40 unafikiri Muhammad kiujumla alikuwa na watumwa wangapi? Alikuwa slave master
 
Wewe na mwenzako Msonjo mnabisha bila kuweka maandiko yoyote, ni kuandika tu story mnaokota sijui wapi
Bilal Alinunuliwa na akawa mtumwa wa Muhammad , Muhammad alikuwa na watumwa wengi sana

Muhammad alikuwa slave master
Hapa mke wake mmoja tu Aisha, stori nimeikata short alikula kiapo akavunja kiapo ikambidi aachie huru watumwa 40

...."I have made a vow which is a matter of very serious nature." They persisted in their appeal till she spoke with 'Abdullah bin Az-Zubair, and she freed forty slaves as an expiation for breaking her vow. Later on, whenever she remembered her vow, she would weep so much that her veil would become wet with tears. Sahih al-Bukhari 6073-6075
Mchungaji haya unayoyasoma kwenye Google mengi yao yameandikwa na Waislam wenyewe..

usifikiri kama hatuyajui,Kiapo alichokula Aisha na Waislam wa wakati huo, kwamba kama, Muislam humsalimie muislam mwenzako Adhabu yake ni kuachie Watumwa 40,

Kiapo hichio madhumuni makubwa yalikuwa ni njia moja ya kuondoa Utumwa

kumbuka ilikuwa sio rahisi kuondoa utumwa kirahisi,watu walikuwa wameshazoea mfumo huo

Islam is full of wisdom,..
 
Mchungaji kajifunze kusoma na kufahamu English..

Hii hadith ni kuhusu Aisha alikataza kuzungumza na mmoja wa watu walioingia ukumbini kwake,kwavike huyu jamaa walipita mitaani kumsingizia kitu

Wake watu walimuomba Aisha aongee na Yule mtu,Walimkumbusha Aisha kuwa Mtume aliwambia Waislam ni lazima wasalimiane,isipite siku tatu bila kusalimiana..

Ndipo hapo Aisha alipokubali kuzungumza na yule mtu kwasababu kala kiapo,cha kuwasalimia waislamu wenzake, ,kosa la Waislam kutosalimiana ni kutoka Watumwa 40

kila hadithi ina maana yake katika Syria za Kiislam..

Sheria hii au kiapo hichi ni katika njia za Uislam kuwaachia Watumwa huru
Kazi yangu ilikuwa kukuwekea ukweli ambao ulitaka kuficha kwa kutumia uongo mtakatifu takiya , Muhammad alikuwa anamliki Bilal na watumwa wengine wengi , alikuwa pia ana sex na watumwa wa kike na Allah akamruhusu kabisa kwenye Koran kula kijakazi

Muhammad alikuwa tajiri Sana mpaka mke mmoja tu unaona amemuwekea watumwa zaidi ya 40 , sasa hapo Kuna wa kike pia na ni ruksa kwa Muhammad kutafuna
 
Usipoteze mda kuelezea kitu kipo wazi ,

Kama mke mmoja tu wa muhammad aliweza kuachia watumwa 40 unafikiri Muhammad kiujumla alikuwa na watumwa wangapi? Alikuwa slave master
Huyo Mtume wa Allah anatetewa kwa Kuongopa na Mapanga tu.
Zaidi ya hivyo hasafishiki kabisa.

Kwa ufafanuzi wako wa kweli ungekuwa Afghanistan ungekwisha Chinjwa siku nyingi sana.
 
Usipoteze mda kuelezea kitu kipo wazi ,

Kama mke mmoja tu wa muhammad aliweza kuachia watumwa 40 unafikiri Muhammad kiujumla alikuwa na watumwa wangapi? Alikuwa slave master
kaka unajua huyo Aisha alikuwa nani?..

Aisha ni mtoto wa Abubakar,yule jamaa alie mnunua Bilal akamuachia huru..

Abubakar alikuwa mmoja wa Tajiri mkubwa pale Makka,rafiki mkubwa wa Muhammad, mmoja katika watu waliousimamisha Uislam

Muhammad hakuwa tajiri alikuwa anafanyakazi kwa mkewe alieitwa Khadija

Katika hiyo hadithi haijaandikwa kuwa hao Watumwa walikuwa wa Muhammad
 
Kiapo hichio madhumuni makubwa yalikuwa ni njia moja ya kuondoa Utumwa

Islam is full of wisdom,..
Muhammad na Allah wakaja na wisdom ya kutokumuondoa mtumwa

Muhammad akasema , ukilizunguka jiwe mara 7 ni kama umeshamuachia mtumwa

....whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave. Sunan an-Nasa'i 2919

Circumambulation - is the act of moving around a sacred object or idol.
 
kaka unajua huyo Aisha alikuwa nani?..

Aisha ni mtoto wa Abubakar,yule jamaa alie mnunua Bilal akamuachia huru..

Abubakar alikuwa mmoja wa Tajiri mkubwa pale Makka,rafiki mkubwa wa Muhammad, mmoja katika watu waliousimamisha Uislam

Muhammad hakuwa tajiri alikuwa anafanyakazi kwa mkewe naiitwa Khadija,katika hiyo hadithi haijaandikwa kuwa hao Watumwa walikuwa wa Muhammad
Unataka kusema Muhammad alikuwa analelewa na baba mkwe? Weka sawa
 
Kazi yangu ilikuwa kukuwekea ukweli ambao ulitaka kuficha kwa kutumia uongo mtakatifu takiya , Muhammad alikuwa anamliki Bilal na watumwa wengine wengi , alikuwa pia ana sex na watumwa wa kike na Allah akamruhusu kabisa kwenye Koran kula kijakazi

Muhammad alikuwa tajiri Sana mpaka mke mmoja tu unaona amemuwekea watumwa zaidi ya 40 , sasa hapo Kuna wa kike pia na ni ruksa kwa Muhammad kutafuna
hahaha,Bilal hakuwahi kuwa mtumwa wa Muhammad

Bilal alinunuliwa na Abubakar,akamuachia huru

Abubakar alikuwa tajiri mkubwa pale Makka

Aisha ni mtoto wa Abubakar,Abubakar alimpa Mtume mtoto wake
 
Muhammad na Allah wakaja na wisdom ya kutokumuondoa mtumwa

Muhammad akasema , ukilizunguka jiwe mara 7 ni kama umeshamuachia mtumwa

....whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave. Sunan an-Nasa'i 2919

Circumambulation - is the act of moving around a sacred object or idol.
Moja katika wisdom ya kuwachia Watumwa huru,kuondoa Utumwa..

fikiria sheria inayosema kuwa kama hujamsalimia muislam mwenzako kwa siku 3 adhabu yake ni kuachia huru Watumwa 40.....

Hakika kuna Hekma na busara nyingi kwenye Uislam
 
Kama ni kweli kwamba haya mambo ya vipaaza sauti yameanza huko Asia mwaka 1930 then hili si jambo la kiimani, ni jambo la kiteknolojia and hence tufikirii nje ya box; je miaka hi karne ya 21 bado tunalazimika kuwaamsha watu ambao sio IMANI yetu? Kuna simu za mkononi, zina alarms, kwanini tusitumie hizo? Najua Waislamu hawatumii sana sana instead wanaangalia zaidi jua so kila baada ya miezi mitatu jua linabadirisha style ya kuchomoza na kuzama, haiwezekani kwa mfano miezi 3 ya mwanzoni mwa mwaka tukatangaziana misikitini kwamba kipindi hiki muda sala ni saa fulani then uka set muda kwenye simu zetu? Tubadirike
 
Moja katika wisdom ya kuwachia Watumwa huru,kuondoa Utumwa..

fikiria sheria inayosema kuwa kama hujamsalimia muislam mwenzako kwa siku 3 adhabu yake ni kuachia huru Watumwa 40..
Muhammad akasema ukizunguka jiwe mara 7 pale macca ni umeshamuachia mtumwa,
....whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave. Sunan an-Nasa'i 2919
Circumambulation - is the act of moving around a sacred object or idol.
 
hMuhammad hakuwa tajiri alikuwa anafanyakazi kwa mkewe naiitwa Khadija,katika hiyo hadithi haijaandikwa kuwa hao Watumwa walikuwa wa Muhammad
Stori ya Khadija ya kumnywesha pombe baba yake ili afunge ndoa na Muhammad unaifahamu?
 
Ha...ha...ha
Hatuifahamu Mkuu hebu tugemee kidogo ilikuwaje.
Lete mambo tuchangamke na mvua mvua hii.
 
Hahaha 😂 ngoja nipambane kuitranslate kuwa kingereza , maana hakuna kwa English ipo kiarabu tu
 
Stori ya Khadija ya kumnywesha pombe baba yake ili afunge ndoa na Muhammad unaifahamu?
siifahamu,Ninachofahamu kuwa Khadija alikuwa mmoja wa Wafanya biashara mkubwa Makka

Alimuajiri Mtume Muhammad,kwa uaminifu aliouonyesha Muhammad kwa Khadija,Khadija alipendekeza aolewe nae

Khadija alimzidi umri Muhammad, Yeye Khadija ndie aliekuwa mtu wa mwanzo kuukubali Uislam
 
Muda wa kazi hutofautiana, watu wanakuwaga na shift za usiku hivyo asubuhi ni muda wao wa kupumzika.
Sababu za kipuuzi hizo.Watu wanaokuwa na shift za usiku ndio wazuie waislamu wote kufanya ibada zao ikiwemo kusikiliza adhana.Wenye shift na waislamu waliojenga msikiti ni nani wa kupewa kipaumbele. Vile vile adhana ikisomwa ni ibada na ni wito waliosikia miongoni mwa waislamu wakimbilie kwenda msikitini kufanya ibada kubwa zaidi ya swala. Sio kila mara adhana ikisomwa inatuamsha.Ukiwa umechoka sana au una usingizi mwingi wala huwa huamki.Mtu aliyelala asisikie adhana halaumiwi.
 
Back
Top Bottom