Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Acha kulinganisha Rwanda na Tanzania
 
Dakika 90 ni 1 hr 30 minutes
 
Shida ni nafasi kutolewa kwa kuangalia unamjua nani, sio unajua nini.
 
Matangazo kaka. Kaonekana Heathrow hata kwa saa moja kunaongeza points.... Marketing.
Sana bro
Nakumbuka zamani unapoingia Heathrow unakutana na Concorde imewekwa kwenye Roundabout ya Airport

Emirates wakatamani kumuondoa hapo BA ila kodi zao sio za mchezo
Kwa kuwa wana hela basi mpaka leo zaidi ya miaka 10 Emirates wamepaki hapo na kila toleo likitoka wanaweka
Halafu guess what?
Wameweka matangazo ya wanyama wetu na Serengeti yote iko hapo
Yaani wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja

Kwa kuwa Africa hakuna Freedom of information basi huwezi kupata jibu la maana kama Emirates wanatulipa kwa kutumia jina letu au ni uzwazwa wetu
Kweli biashara matangazo ila wanatuletea watalii badala ya sisi kuwafuata
 
Vinatunufaisha nini kama nchi ilihali tumebaki kuwa omba omba kwa wazungu kwa kukosa fedha?
 
Dakika 90 ni 1 hr 30 minutes
Ndio maana hata ticket kuondokea Heathrow ni ghali zaidi ya Airport zingine za hapa
Ndio maana ndege ikichelewa tu kuondoka charges zinaongezeka
Ndege inapotua tu lazima isafishwe na kuweka kila kitu kwenye ndege kwa muda wa dakika 40 tu
Kila Dakika 3 ndege ina Tua sio mchezo

Imagine ndio airport yetu 😄 🤣
 
Kupata kibali cha ndege kutua Heathrow ni shughuli pevu lakini inayolipa kwa sababu kiwanja kile Kiko kwenye viwango vya juu kimataifa.
Shirika letu la ndege linapofurukuta, juhudi zote mara nyingi huishia kupata slot za Stansted Airport...
 
Kupata kibali cha ndege kutua Heathrow ni shughuli pevu lakini inayolipa kwa sababu kiwanja kile Kiko kwenye viwango vya juu kimataifa.
Shirika letu la ndege linapofurukuta, juhudi zote mara nyingi huishia kupata slot za Stansted Airport...
Tuna tatizo kubwa jamaa alijaza madege kumbe yatue mwanza
Hawakuwaza ku compete na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…