Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Think tank ya nchi wanawaza kuteka na kuua tu
 
Uko too negative aisee

Unadhani we are doing nothing?

Hizo route ulizotaja zinawalipa? Wao wangetamani sana wawe na Songwe, KIA, Dodoma, mwanza etc…. The guy is punching above his weight

Strategy nzuri ni kujiunga na global network ili uwe part ya big fleet kuliko kutembea mwenyewe

Atc inakwenda china, India, Dubai, Zimbabwe, Zambia… not bad
 
Kinacholitatiza taifa letu ni watu wa kufanya maamuzi sahihi tu ndio changamoto. Na ndio maana yule mzee aliyehudumu awamu ilioisha alionekana kama superhero kwa raia na miongoni mwa wanamboga mboga wenzie hadi wakamchukia vibaya mno.

Rasilimali zipo, fedha zipo ila panapotakiwa kufanya maamuzi flani ya maana tunaanza kuangaliana usoni na chamani. Mtu mwenye nafasi anakaa kimya mambo yaende hobela hobela kwa sababu anaona akifanya maamuzi sahihi yatavuruga maslahi ya kundi flani la mafisadi na watamuondoa kwenye payroll. Tumeendekeza siasa na kulindana kwa gharama za walipakodi.
 
Tanzania tuna chawa wa mama wao hawana hivyo ngoma draw
 
Hata kwenda India, ATCL ni direct flight.
Lakini Rwandaair itaanzia Znz, Dar, Mombasa, Kigali mnasubiri for 5 hrs ndio safari ianze kupitia Dubai ambako pia kuna masaa 2 ya kupumzika airport.
 
NHIF, ....
 
Mwanza na Mbeya, hivi haya ma airbus na boing yanalipa?
Mkuu yalipe wapi
Ni show off ya kijinga sijawahi kuona maishani mwangu

Yaani hela zinachotwa serikalini zinalipa huku ilimradi yaonekane yako kwenye mzunguko

Bora wangeingia ubia tu na majirani na nchi kubwa na local wakaweka ndogo
Sijaona biashara inaanza na kuzuia ndege nje kisa madeni

Leo tunaona SGR inakwama hata baada ya kuanza tu
 
Tz Ina mabango mengi sana barabarani ya MAMA ABDUL, kuliko mabango ya kutangaza vivutio vya utalii 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kenge wanaotawala bongo, kipaumbele Chao, ni kubaki madarakani tu, mengine yote,hayana maana Sana, wakiona kijana anapinga, anataka kuwatoa usingizini wananchi, wanamzima,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…