Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Sisi tunatangaza Mabango ya Mwenyekiti wa CCM.
Huoni kama sisi tuna akili zaidi kuliko hata hao Wanyarwanda wako?!
To be honest boss huku matangazo kwa mfano kwenye kitovu cha London
Piccadilly circus kuweka tangazo la biashara kwa wiki ni £250,000 kwa wiki
Sawa na 875,000,000 ndio hivyo sijakosea 😄 🤣
Sasa sijui hayo mabango kilakona yanalipa kwa watalii kuyaona
 
Kwa maneno ya Prof Assad.." Watumishi wengi wa serikalini,uwezo wao ni mdogo hivyo utendaji wao pia ni mdogo"..
 
Kweni hawawezi kupigiwa simu na kuambiwa wasipoweka Bango la Mwenyekiti watatumiwa TRA ya huko ili wanyooshwe?!
 
Watanganyika hamjui mnataka nini serikali ikitaka kufufua Hilo shirika kelele zinatoka kila Kona kuponda.

Qatar airways owns 49% of Rwanda air let that sink in.
Sisi tulikuwa na partnership na SA, Kwanza Alliance Air ,ls pili SAA na kote tukapigwa badala ya kujenga.
 
Songwe ya mbeya ?
 
Wewe una tofauti gani na waliomuua Mzee Kibao wa CHADEMA? Unafurahia Kagame anavyoua wakongo kisa utajiri wao wa madini? Na kama angekuwa anaendeleza nchi yake kwanini wanyarwanda wanakimbia maisha magumu kwao na kwenda nchi zingine? Wewe ni mtu katili usiyefaa kwenye jamii ya wastaarabu.
 
Sisi tulikuwa na partnership na SA, Kwanza Alliance Air ,ls pili SAA na kote tukapigwa badala ya kujenga.

Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
 
Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
Ukiinama Nchale ukiinuka Nchale 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…