Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Relax nawe 🤣🤣

SECURITY THREAT sikumaanisha hivyo.....

Nilimaanisha jinsi ya "kuihandle"...kutoingia katika mikono isiyo salama...hususani siku Kagame atakapokuwa hayupo.....

Pia kuna suala la "AJALI" Kama kule FUKUSHIMA NA CHERNOBYL....

Kijiografia Raanda huwa inakumbwa na mafuriko mara kwa mara....tusiisahau hilo....

Ok mkuu shukran👊
 
Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa mmoja tu wa Tanzania Bara. Ukumbuke hilo unapozilinganisha hizi nchi mbili.
Kwa utafiti upi uliofanya?

Kumbuka ili kupata maendeleo unahitaji vitu vifuatavyo: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Sasa kati ya hivyo unapaswa kuainisha ni vipi Rwanda wametuzidi na vipi tumewazidi. Vinginevyo ni mbaazi ukikosa maua husingizia jua!

Zanzibar ni ndogo lakini haijaendelea! Pia Burundi ni ndogo kama Rwanda haiendelei?
 
Mavi huwa yanakukaba usipoitaja chadema???
Hivi wao ndo wameshika dola????

Ni SERIKALI ambayo ipo katika kampeni ya NYUMBA NI CHOO, unajua nani wanaoshika dola ,ndo hao ambao wanaendelea kujenga madarasa....
 
Tukipiga kelele sisiemu inatakiwa itoke madarakani vijana mnalipwa 7000 mnashinda kwenye mitandao kueneza propaganda na ikifika kipindi cha uchaguzi mnapangwa kwenye vituo kuiba kura na wala hamkatai damu ya usaliti haitawaacha salama
 
Hahahaaaa.... Kunywa mafuta ya taa!
Listen carefully you Chagga hater. I promise you I will use all my massive blessed resources to track you down and fix you up. This is a solemnly promise I swear to God Jesus you must pay for this atrocities.

QENGAY
 
Shida Yako ni cdm na siyo maendeleo ya nchi. Na unaumia Sana Kwa jinsi wanacdm wanavyochangishana kusaidiwa familia za wale mliowabambikia kesi zisizo na tija Kwa maendeleo ya nchi.
Wewe umia TU na kuvimba Kwa wivu juu ya wanacdm wanaojitambua!
 
Tukipiga kelele sisiemu inatakiwa itoke madarakani vijana mnalipwa 7000 mnashinda kwenye mitandao kueneza propaganda na ikifika kipindi cha uchaguzi mnapangwa kwenye vituo kuiba kura na wala hamkatai damu ya usaliti haitawaacha salama
Hayo ya 7000 ni propaganda tu mkuu...🤣

UVCCM haikosi vijana hodari walioiva itikadi na uzalendo.....

Kazi yetu ni kujikumbusha/kuwakumbusha watanzania UADHIMU wa CCM kulifanya taifa letu liwe moja ,amani usalama na UTULIVU.....
 
Listen carefully you Chagga hater. I promise you I will use all my massive blessed resources to track you down and fix you up. This is a solemnly promise I swear to God Jesus you must pay for this atrocities.

QENGAY
Duuh mkuu unakwenda kuwa TERRORIST sasa mmmh TUNAKUOGOPA....🤣
 
Hayo ya 7000 ni propaganda tu mkuu...🤣

UVCCM haikosi vijana hodari walioiva itikadi na uzalendo.....

Kazi yetu ni kunikumbusha/kuwakumbusha watanzania UADHIMU wa CCM kulifanya taifa letu liwe moja ,amani usalama na UTULIVU.....
Unajisikiaje kuwa mmoja wa watu wa kueneza propaganda mitandaoni wakati mama zako na ndugu zako kule vijijini wanapata shida ya huduma bora za afya pamoja na shida ya maji katika maeneo yao??miaka 60 sasa wapo na shida hizo..Huoni kama unawasaliti?
 
Kazi wanazoziweza CCM ni hizi
1. Kuteka wenye mawazo tofauti na wao
2. Kuiba kura
3. Kuiba mali ya umma
4. Kubambikia kesi
5. Kukimbiza na kuzima mwenge

Hayo ndio wamefanikiwa kuyafanya kikamilifu kwa miaka 60.
 
Unajisikiaje kuwa mmoja wa watu wa kueneza propaganda mitandaoni wakati mama zako na ndugu zako kule vijijini wanapata shida ya huduma bora za afya pamoja na shida ya maji katika maeneo yao??miaka 60 sasa wapo na shida hizo..Huoni kama unawasaliti?
Akili zao walishasalimisha lumumba wanaishi kama misukule. Hawezi kukuelewa huyo
 
Duuh mkuu unakwenda kuwa TERRORIST sasa mmmh TUNAKUOGOPA....🤣
Just keep on praying our race don't get to power. Keep on crossing your fingers tightly we don't own magogoni and Dodoma.
 
The real problem is that when you don't keep your word you loose credibility you break the bonds of trust. Hii inatokea kwa viongozi wetu wengi wakati wa kampeni ahadi ni kede kede lakini vitendo hamna.
 
Mkuu Tanzania mpaka leo bado inapeleka umeme vijijini na kazi inakwisha 2022, jiulize imeanza lini.

Mkuu Tanzania mpaka leo inajenga barabara na shule za msingi, ni kazi inayoendelea.

Rwanda ni eneo dogo sana linahitaji muda mdogo kumaliza miundo mbinu yote.

Usiilinganishe Tanzania na vinchi vidogo vidogo.
 
Unajisikiaje kuwa mmoja wa watu wa kueneza propaganda mitandaoni wakati mama zako na ndugu zako kule vijijini wanapata shida ya huduma bora za afya pamoja na shida ya maji katika maeneo yao??miaka 60 sasa wapo na shida hizo..Huoni kama unawasaliti?
Hizo nazo pia propaganda hasi mkuu 🤣🤣

Hebu jionee hapa......
 
"Elimu ni ukombozi " wakati mwingine napata wasiwasi , kutokana na mambo yanayofanywa na wasomi wa nchi hii. Angali watu wenye PHD Tanzania , wanafanya mambo ya ajabu ajabu ambayo inafikia mahali naona elimu haina maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…