Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

You can't fight a mad but you set redline.
 

Attachments

  • damiennkaka_20221104__1588362615847542784_1_15883625904382320640.mp4
    826 KB
  • IMG_20221104_074307.jpg
    IMG_20221104_074307.jpg
    162.9 KB · Views: 12
Vita vikianza vijana tuko tayari kupigana upande wa Chisekedi. Huyu Kagame asilete chokochoko hapa Afrika Mashariki.
 
Kuna mchambuzi mmja akihijiwa na BBC alisema hakuna suluhisho la Vita Congo DRC bali mazungumzo so akaona Kenya ni wajinga kwenda huko..

Kwa mujibu wake ni kwamba kunatakiwa mazungumzo yahusishe DRC,Rwanda,Uganda,Ubelgiji na Marekani..

Kwamba Congo Mashariki kuna Vikundi zaidi ya 100 vyenye silaha.
 
You can't fight a mad but you set redline.
Wameanza kuogopa. Maana huku Tshisekedi kaja kuomba msaada kwa wazee wa kazi JWTZ. Kule, Hustler wa Kenya katuma vijana wake wakawape "kampani" wakongo.

Naona vijana wa Kagame wamenywea!
 
Hili ni somo la kiimani zaidi, but, aliyetufundishaa imani hii, kwasasa amekuja kivingine, anatamani tuharibikiwe, kama ndivyo, imani aliyoitufundisha ilikuwa ya mtego wa kututoa kwenye reli
Kivipi, sijakuelewa. Hebu fafanua kidogo.
 
Anacho kifanya Rais wa Rwanda dhidi ya DRC anapaswa aonywe harka, vinginevyo apigwe.
 
Huyu Mtusi ni jeuri sana. Bahati mbaya sioni kama kuna kiongozi yeyote wa EAC mwenye ujasiri wa kumkemea.
 
Kabla hamjafikiria kumuonya pk,waonyeni wazungu wanaoiba mali za kongo kwa mgongo wa UN,Tatizo la kongo Sio la pk tu, ni mataifa KARIBU yote makubwa yanayoiba mali za kongo na sio vinginevyo!!!
 
Kitendo chake dhidi ya DRC ni dharau kwa EAC, SADC na AU, anapaswa achukuliwe hatua la sivyo aache hicho anacho kifanya mara moja.

Nchi zetu za kiafrica haswa EAC bado tunamatatizo kibao halafu yeye anaanzisha chokochoko!!
Hapana
 
Kabla hamjafikiria kumuonya pk,waonyeni wazungu wanaoiba mali za kongo kwa mgongo wa UN,Tatizo la kongo Sio la pk tu, ni mataifa KARIBU yote makubwa yanayoiba mali za kongo na sio vinginevyo!!!
tuanze na huyu saizi yetu, maana anacho kifanya ni aibu kwa nchi za kiafrika.
 
Kagame ana shida na Burundi
Kagame ana shida na Uganda
Kagame ana shida na DRC
Kagame aliwahi kuwa na shida Tanzania.

Hii nchi haikupaswa kukubaliwa kujiunga EAC kwa sababu ye kuwa member ni kama tunakosa ujasiri wa kumtandika
safari hii atatandikwa kisayansi sana.
 
Hiki kijamaa ni cha kuondoa for good! Kinasunbua sana ukanda huu.
Chadema ya Dr Slaa ilisimama na Kagame wakati Afande Jakaya alipokuwa anawashughulikia M23 kule Congo
 
Back
Top Bottom