S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Ipo nyumba hapa Ilala mtaa wa Pangani ina majini na wenyewe ni Waarab wameikimbia, na inasemekana hayo majini yana tabia kama za Popobawa yani lazima ubakwe.
Na kama upo tayari nicheki inbox nikuunganishe ukalale kwa wiki moja mkuu.
 
N
Sauli ana option mbili baada ya rufaa kufungwa.
1.Awaite wahusika wabargain awape pesa watakayo. Au pesa na nyumba hata tatu tatu ya kuishi na ya kupanga
2.Aondoe jengo lake awaachie uwanja wao.

Na awajengee nyumba aliyoibomoa. Pia usumbufu wa miaka ishirini.
 
Allah kareem, haki ya m2 haipotei,,,hongera sana ustazi kwa kupambana kudai haki yako,,hatimae umeshinda,,al hamdulilahi
 
Ipo nyumba hapa Ilala mtaa wa Pangani ina majini na wenyewe ni Waarab wameikimbia, na inasemekana hayo majini yana tabia kama za Popobawa yani lazima ubakwe.
Na kama upo tayari nicheki inbox nikuunganishe ukalale kwa wiki moja mkuu.
Wapeni walokole bure wasali humo na kulala humo mwezi sita tu .Hakikisheni wanasali na wanalala.Wekeni hata walinzi nje

Hiyo nyumba itakuwa vizuri ndani ya miezi sita bila shida
 
Wapeni walokole bure wasali humo na kulala humo mwezi sita tu .Hakikisheni wanasali na wanalala.Wekeni hata walinzi nje

Hiyo nyumba itakuwa vizuri ndani ya miezi sita bila shida
Walokole gani mkuu unaowakusudia?
 
Daaah umeuliza swali zuri sana, ingawa watu hawajui kuwa hata Bank wanaweza kufanya makosa ya kuuza au kufanya mnada wa nyumba kimakosa hata kama ilikuwa na kesi mahakamani. Jibu: Ukinunua nyumba ya mnada wa bank na baadae mahakama ikasema nyumba irudi kwa mwenyewe basi bank itakurudishia gharama zako na pia itakuwa faida kwako bcz bank zinapesa kuliko kununua kwa mtu binafsi… nilishawai kuona sehemu mtu anarudishiwa pesa zake baada ya mteja kushinda rufaa ya kesi kupinga mnada wa Bank baada ya bank kushinda kesi ya kuomba kuuza mali ya mteja aliyeshindwa mkopo.
 
Ila hapa sijaelewa Hawa wanapewaje nyumba (ghorofa) ikiwa wao walikuwa wamiliki wa kiwanja na nyumba ya zaman (ndogo)
 
Matajiribkaribu 90% bongo ni wezi na wanyang'anyi
 
Thamani ya nyumba kariakoo sio sawa na Tegeta hata kidogo. Kariakoo wenye nyumba za udongo waliondolewa kwa kuuza hadi B 1
Kwa kipindi kile tegeta ilikuwa inaonekana porini

Ova
 
Je kama kitu kimefanyika miaka 6 iliyopita na sijafatilia nini kitatokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…