Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

Saafi sana! Sema Dogo hajalala Kabisa na uwezo wa kusafiri aliko demu Hana, hapo ndio maumivu yanazidi
 
Achana naye tu. Piga nyama chini.
 
Sasa unataka uambiwe na nani ndio uamini kuwa wakati ukiambiwa namba inatumika alikuwa akitumika yeye?
Hata tukikwambia sisi hautaamini utaenda kumuuliza mhusika tena kama alikuwa akitumika
 
Babu jinga Mali yako inaliwa
 
Inaonekana bado unampenda sana huyo mwanamke ila kwa dalili hizo ashakuacha sema anaogopa kukueleza ukweli .

Chamsingina cha sekondari fanya nawe kumuacha na usimpigie hata simu wala kumtumia sms naimani naye atakupuuza , usikubali kuendeshwa na hisia .
 
Tangu nimkute Siku Moja anasikiliza nyimbo ya singeli "....hakuna cha peke yako Baba zaidi ya kaburi..."

Nikajua huyu demu sio wa kwangu peke yangu 🙌

Unapokuwa una-date PisiKali hizo mambo ya kumegemewa na kushea tujiandae navyo

Ukijifanya una date malaika tujiandae kukuzika Kwa presha/Kisukari hasa Kwa sisi Wazee 🤗🙌
 
Ananitafuta. Hata sasa amemaliza kunitext nimeamkaje. Ila hisia kumwambia aje ghetto zinaisha. Hakuna mke hapa
 
Msamehe huenda aliblock bahat mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…