Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

Mkuu achana na ukaribu wa namna yoyote ile baina yako na huyo bint, muweke mbali kabisa kwa sasa. Hakufai huyo mwanamke, ondoa huo urafiki, jikaze kaa nae mbali. Sisi wanaume wote tunaokwambia uachane nao ni kwamba tumeshapitia huko unakopitia.
 
[emoji23][emoji23] duh! Wifi yangu katisha sana na ukute si kwamba pesa ya kununua sabuni nzuri hana ila anaona ubahili.
Ndio wengi tabu yenu ilipo hapo, hata kujispoil unaona uchungu mpaka itumike hela ya flani.
 
Hii ndio aliimba komando wanaume kama mabinti. Mkuu unashindwaje ku handle ka kitu kadogo kama hako.

Kama kuna men au hata ke hayawahi pitia kitu kidogo kama hiki aseme hapa. Mambo madoogooo unakuja kuanzisha uzi. Siku ukifuma sms anasifiwa kwa migegedo mitamu aliyompa mwana si utajiua
 
Hapa angekuwa kaleta uzi kama huu mwanamke comment zingekuwa vumilia utaacha wangapi[emoji2][emoji2]

Ila kwa kuwa ni mwanaume kila mtu anashauri amuache[emoji1787]
 
Kama una demu kapanga kwake na humlipii kodi acha wivu kijana. Jua tu kuna sponsor na akipiga simu lazma ipokelewe na wewe upo kundi la wasumbufu. Hakuna kitu kama block ya bahati mbaya
Block ya bahati mbaya ipo, kuna kijana wangu wa kazi kani block bahati mbaya
 
Hapo unataka kuambiwa nini mzee? Siku nyingine simu itajizima bahati mbaya
 
We jamaa jiongeze tu hapo hauna mtu kbsa.
Tafuta mwanamke mwingine.
 
Umes
Umeshakua?? Tokea 2016 hadi leo unadhani age imeenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…