babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ushaambiwa tulale, anasema tuachane.
Jiongeze
Jiongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana na ukaribu wa namna yoyote ile baina yako na huyo bint, muweke mbali kabisa kwa sasa. Hakufai huyo mwanamke, ondoa huo urafiki, jikaze kaa nae mbali. Sisi wanaume wote tunaokwambia uachane nao ni kwamba tumeshapitia huko unakopitia.Ahsante sana Bro. Sasa nimemwambia abaki kuwa rafiki yangu. Naona amekuwa mkali hivi eti ni kwa sababu alishanivulia nguo ndio maana nimeamua hivi. Kwamba alipanga aje tuonane anipe ushahidi. Hivi unablock namba za watu, ghafla unashangaa mtu ambaye kila siku lazima akutafute hajakutafuta. Haifikishi?
Amesema kwa kuwa nimeamua tuwe marafiki SAWA na anaonekana hajajutia. Anajutia kwa jicho la mbali kwa kuwa nimemgonga.
Ndio wengi tabu yenu ilipo hapo, hata kujispoil unaona uchungu mpaka itumike hela ya flani.[emoji23][emoji23] duh! Wifi yangu katisha sana na ukute si kwamba pesa ya kununua sabuni nzuri hana ila anaona ubahili.
matatizo matupuHivi ku block kwa bahati mbaya ndo kukoje??😂
Long distance relationships hizi ni changamoto
Mtuvumilie jamani hiyo tabia ipo damuni.Ndio wengi tabu yenu ilipo hapo, hata kujispoil unaona uchungu mpaka itumike hela ya flani.
Nimecheks wallah huu ufala wenu madogoLakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Block ya bahati mbaya ipo, kuna kijana wangu wa kazi kani block bahati mbayaKama una demu kapanga kwake na humlipii kodi acha wivu kijana. Jua tu kuna sponsor na akipiga simu lazma ipokelewe na wewe upo kundi la wasumbufu. Hakuna kitu kama block ya bahati mbaya
Umeshakua?? Tokea 2016 hadi leo unadhani age imeenda.Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali