Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Ajabu sana. Cha kusikitisha hata hawajali kabisa.Shida ni tr 2 za EU ndiyo maana wanatumia uongo mkubwa kudanganya watu kupitia Bunge na Nec. Kweii chadema wapeeke jina mtu yupo mahabusu na wamshauri DPP amwachie, uongo mwingine wa ajabu. Mahera anadai Nov 19 chadema wamepeeka majina kesho yake Azam Tv anaripotiwa kuwa hajapokea majina toka CDM, uongo wa ajabu kabisa. Wameshikwa pabaya hizo pesa za EU hawapati mabeberu siyo wajinga kihivyo.
Wote Mahela na Hanje wameonesha uongo wa CCM na serekali yake.Nusrat Hanje ndiye amesaidia hapa kuonyesha ni nani muongo
Ukweli ni kwamba jiwe anawafanya hawa jamaa waonekane vilaza sana. Maana wanatekeleza amri kwa uoga,na anayewapa amri wala hajali na hashauriki wala kupangiwa.Mahera ni bogus na takataka
Washakuwa wasaliti, kibaya zaidi wamekuwa wanafki kwa kujifanya wanamshkuru Mwenyekiti kwa kuwapa ile fursa.Kwa waliowahi kutumia manati, unamlenga ndege umevuta manati yako hadi mwisho halafu kipago kinachomoka mkononi kinakurudia usoni. Balaa lake usiombe.
Mwisho mzuri wa hili jambo ni pande zote kukaa mezani waongee kama watu wenye akili, hiki kinachoendelea ni kuzidi kujitia aibu tu.
Jaji mkuu naye ni mpuuzi kama wapuuzi wengine na mteuaji wao.Kama Judge Mkuu halindi Mamlaka yake kwa Wivu sasa nani atamsaidia?? Mahakama kipindi hiki inasemwa vibaya kila uchao Ni jukumu lao wajitenge na kashfa hizi wasionekane hawafai..Mtu anakaa jela miezi kesi ambayo ina dhamana
Ila pia haiondoi ukweli kwamba CCM wamechemsha kwenye hii issueWatu wana wivu meku.
Nampongeza Nusrat kwa kujiokoa.
Sifa nyingine si laazima uzipate kwa watanzania maana ni wanafiki na wenye roho mbaya tu.
Nakuelewa kabisa mkuu.. na tuko kwenye same page... CCM ni wapuuzi tu wala usifikir nipo upande wao.. nimeangalia tu angle ya huyu dadaTatizo hapa sio ubunge wa Bi Hanje, bali tatizo ni namna gani alitolewa mahabusu? Nani alimteua kuwa mbunge kwa mujibu wa sheria za nchi? Nadhani ukweli uanzie hapo kwanza.
Hawa ccm hivi hawakufikiria hiki kipengele kitawavua nguo?
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.
Tuwe tu wakweli saa nyingine
You are so smart and intelligent ndugu...Mkuu usichanganye haya mambo maana utafikia hitimisho batili. Hakuna aliyetaka Nusrat kuendelea kubaki jela, na kila mtu anataka ubunge. Lakini unapokubali kuupata ubunge kwa kukiuka msimamo wa chama, hapo inakuwa umejijali binafsi. Huyo dada angeitikia wito wa kamati kuu utetezi wako ungekuwa na mashiko. Tusichanganye huyo dada kukaa jela, na kilichofanyika kwenye huo ubunge maana tunapoteza mantiki.
Hivi hizi trillion 2 zinatolewa na EU kila mwaka au baada ya kila miaka mitano? Na hizi pesa wanapewa bunge?Shida ni tr 2 za EU ndiyo maana wanatumia uongo mkubwa kudanganya watu kupitia Bunge na Nec. Kweii chadema wapeeke jina mtu yupo mahabusu na wamshauri DPP amwachie, uongo mwingine wa ajabu. Mahera anadai Nov 19 chadema wamepeeka majina kesho yake Azam Tv anaripotiwa kuwa hajapokea majina toka CDM, uongo wa ajabu kabisa. Wameshikwa pabaya hizo pesa za EU hawapati mabeberu siyo wajinga kihivyo.
MaCCM akili zao Hazina AkiliYaaa CCM akili hawana kabisa
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM majaji hawaamui kesi kwa mjibu wa Sheria bali kwa zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCMKama Judge Mkuu halindi Mamlaka yake kwa Wivu sasa nani atamsaidia?? Mahakama kipindi hiki inasemwa vibaya kila uchao Ni jukumu lao wajitenge na kashfa hizi wasionekane hawafai..Mtu anakaa jela miezi kesi ambayo ina dhamana
Dawa yake ni kumlaani kuandamana moyoni kumshitakia mungu kwa vitendo vyake vya kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani huku akishiriki ununuzi wa covid 19 sasaHivi hakuna namna ya kumshurutisha Mahera alitolee maelezo hili la Nusrat kwa umma? Hii ni dharau sana kwa watanzania.
Sasa hawatoi mpaka waone wabunge wa upinzani Bungeni ndiyo maana Ndungai akaamua kuwanunua covid 19 akiamini Dili lingrtiki vizuriHivi hizi trillion 2 zinatolewa na EU kila mwaka au baada ya kila miaka mitano? Na hizi pesa wanapewa bunge?
Wala hakuna haja ya Chadema kufungua kesi kwani wazungu wanamsemo "Never argue with a fool" kwa sinema hili la kihindi walilocheza MATAGA hakika wamezidi kujivua ngua kwa watanzania ambao sikuzote wamekuwa wakiwashangaa kwa sarakasi za kihindi wanazochezaga .Dawa yao ni kuwakalia kimya mpaka akili ziwarudi pengine....CCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.
1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.
2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?
Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.
Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
We have to come together as a nation and unite around our shared goal: defeating this virus called ccmCCM bhana sijui akili walishazipeleka wapi? Mahera anadai majina ya covid 19 yaliletwa na chadema ndio hayo aliyoyapeleka kwa Ndugai.
1. Mahera anadai CHADEMA iliwasilisha hayo majina tarehe 19 November 2020. Tarehe 20 Nov 2020 huyohuyo Mahera akiwa Azam tv alidai tume haijapokea majina ya viti maalumu kutokea CHADEMA. (Angalieni hizi tarehe mtaona nani muongo). Wanasema ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu maana hii ni aibu.
2. Nusrat Hanje: tufanye basi ni kweli Mahera anasema ukweli kuwa Chadema iliwasilisha majina ya viti maalumu. Swali la kujiuliza: Nusrat Hanje alikuwa mahabusu, Chadema wana mamlaka gani nchi hii ya kuweka jina la Nusrat kwenye orodha ya viti maalumu na kuhakikisha wanamtoa mahabusu ili akaapishwe? Hapa ndio ninapowaona ccm either walishatuona watanzania hatuna akili au wao ndio hawana akili. Chadema ina mamlaka gani ya kumtoa mwanachama wake mahabusu ili awahi kuapishwa?
Ushauri wangu kwa chadema. Fungueni kesi mahakamani. Hii kesi ni rahisi sana kushinda. CCM imepanga huu mchezo kiboya sana.
Tunashukuru Nusrat Hanje ametoka mahabusu. Sasa dada wa watu yupo huru.
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM hakuna haki kwa chademaWala hakuna haja ya Chadema kufungua kesi kwani wazungu wanamsemo "Never argue with a fool" kwa sinema hili la kihindi walilocheza MATAGA hakika wamezidi kujivua ngua kwa watanzania ambao sikuzote wamekuwa wakiwashangaa kwa sarakasi za kihindi wanazochezaga .Dawa yao ni kuwakalia kimya mpaka akili ziwarudi pengine....