Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
Vipi wale watuhumiwa wenzake wote nao waliachiwa huru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa chuki ndani ya moyo wako utaweza pata taswira sawia mpendwa ndugu yangu! Mahakama zetu zinajitahidi sana kufanya fair 'judgements' ingawa kuna makauzu wachache wanao'abuse' mahakama pia! Hii haipo Tz peke yake, ni swala lilopo duniani pote!Mahakama ipi kwenye mfumo huu huu unaozidi kujigalagaza chini ya Mungu mtu? Wewe ndio nadhani hauko serious.
Pole sana.Ondoa chuki ndani ya moyo wako utaweza pata taswira sawia mpendwa ndugu yangu! Mahakama zetu zinajitahidi sana kufanya fair 'judgements' ingawa kuna makauzu wachache wanao'abuse' mahakama pia! Hii haipo Tz peke yake, ni swala lilopo duniani pote!
Comment bora ya mwaka 2020!Ushauri wa bure kwa mtoa mada
1. Achana na siasa za Tanzania. Kwa usalama wa afya yako, NEVER TAKE TANZANIAN POLITICS SERIOUSLY
2. Tumia muda wako kula vizuri, kunywa maji mengi, kula matunda na fanya mazoezi.
3. Hakikisha unatafuta future ya watoto wako na wewe mwenyewe kwa njia zingine zozote nje ya siasa.
4. Sio kila unaemuona kanisani kavaa koti kafunga mikono kifuani anasali kwa unyenyekevu anakuwa ana maanisha.
Pole sana.
Ninazidi kusikitishwa kwa jinsi unavyojaribu kuhalalisha UKANDAMIZAJI wa uhuru na haki za binadamu.
Ndugu yangu, kuukumbatia udhalimu ni DHAMBI kwa binadamu na mbele za Mungu.
Chuki kwa fikra na matendo YOTE ya aina hiyo ndio YAHITAJIKA ili kujenga jamii yenye upendo na inayojali na kuthamini ubinadamu kwa wote bila ya ubaguzi. AMEN.