Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisha wachoka na nyie hamna hata jema 1 tu,alishikiliwa mkalalamika kaachiwa mnalalamika tuwaelewe je mlitaka aozee gerezani, mbona hata wale wa singida wameachiwa huru unamuona huyo dada tu acha wivu acha nae atembelee v8 ale kiyoyozi.1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake....
Kwani kuna shida gani hapo? Mtu anweza akampigia Rais asimpigie mbunge... au sijaelewa vemakura za rais 20,mbunge tano. M
Mungu hamfichi mnafikihuwa najiuliza huko juu hakuna watalaamu wa wizi, kama hawapo si wawakodi huku chini,
Imekuuma Nusrat kutoka mahabusu! Yeye ni wa kwanza kutolewa gerezani? Viongozi wa CHADEMA waliwahi kutolewa mahabusu Dar kwa teksi. Kama kuna udharura mahakama inaweza kukaa hata usiku na mahali popote.1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake....
Imekuuma Nusrat kutoka mahabusu! Yeye ni wa kwanza kutolewa gerezani? Viongozi wa CHADEMA waliwahi kutolewa mahabusu Dar kwa teksi. Kama kuna udharura mahakama inaweza kukaa hata usiku na mahali popote....
Kama mtu kaibiwa kura anakatakiwa kukata rufaa mahakamani ukiona hawakat rufaa jua wanajua ukwel ila wanawadangany ili kuwafariji nadhan huyo professor kuna vitu hakukwambia rudi akakufundishe tenaMara nyingi sana huwa yanafanyika makosa ya kiufundi, kwa hilo lililotokea ni dhahiri watu wamekuwa wakifanya mambo bila kufiliria. Sasa sijui ni kwa mini?....
Kama Mandela!1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake..
Ushauri wa bure kwa mtoa mada
1. Achana na siasa za Tanzania. Kwa usalama wa afya yako, NEVER TAKE TANZANIAN POLITICS SERIOUSLY....
Ni moja wapo ya maajabu ya dunia yaliyofanywa na mihimili mitatu ya Tanzania - mahakama, bunge, na dola. Ni kivutio kimojawapo kwa watalii. Mmemsikia alichosema Adeladius Kilangi leo?1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake...
Wanaosema: Achaneni na siasa: Wao wenyewe ni wanasiasa. Wanawakatisha tamaa wengine ili wao wanufaike. Siasa inagusa maisha ya kila binadamu.Imekuaje raia wa TANZANIAA wanaishi kama wageni kwenye Taifa Lao? Maana hawajali lolote wala chochote kuhusu serikali na mambo yanayofanyika ndani ya serikali, ili mradi maisha Yao yanasonga mbele kwa kupata ubwabwa na mboga wanaona ni Sawa tu...
Hongera sana mchangia mada kwa jinsi ulivyoelezea kuhusu watanzania jinsi walivyo. Hatari sana!Imekuaje raia wa TANZANIAA wanaishi kama wageni kwenye Taifa Lao? Maana hawajali lolote wala chochote kuhusu serikali na mambo yanayofanyika ndani ya serikali, ili mradi maisha Yao yanasonga mbele kwa kupata ubwabwa na mboga wanaona ni Sawa tu...