Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

IMG_3425.jpg
 
Leo nimshuka kutoka basi la mkoani mida ya around saa 9 usiku hapa stand ya magu.
Kupanda daladala ya gomz mida hiyo nashangaa kuna katoto kashule moyoni nikajiuliza shule mida hii nani atamfungulia.
Hilo ni moja ya gap watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia.
#EeBabaMunguTulindieWatotoWetu
 
Leo nimshuka kutoka bai la mkoani mida ya saa9 usiku hapa stand ya magu.
Kupanda daladala mida hiyo nashangaa kunakatoto kashule moyoni nikajiuliza shule mida hii nani atamfungulia.
Hilo nimoja ya gap watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia.
#EeBabaMunguTulindieWatotoWetu
Mzazi wa huyo mtoto ndio wakulaumiwa
 
Ni ujinga na ulimbukeni wa elimu na asilimia kubwa ya wazazi wanaofanya hivyo ni wale ambao hawajaenda shule ila Mungu kawabariki kipato aisee hili kundi linatesa watoto mtoto darasa la pili apumziki kama hivyo kamamka sasa tisa anaenda shule kurudi nyumbani sasa tatu usiku maana.. akitoka shule anaenda tution yaani elimu inakuwa kama utumwa.
 
Back
Top Bottom