Saa moja na dakika 17

Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?

Ngano ndio chakula kikuu kama hujui.
 
Jamaa kaongea kama utani nipigilie msumar....
Usiombe yakukute.me yashawahi kunikuta Kuna kitu nilikula halafu baadaye Sasa duhhhh.
 
Ahahahahahaha nimecheka sana mkuu, unajua unayoongea yote jana nime experience aiseee an ile hali jamni hapana chezea...

Kuna mda nikawa nasema mimi sitokuja kula ngano maisha yangu yote weee jana ilikua hatariiii..

Jana kulikua na kimbembe.. ile show kwa mtoto wa mama angesema wampeleke mwimbili tu..

As if nilikula vyuma
 
Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?

Ngano ndio chakula kikuu kama hujui.
Sasa mkuu.. dactar kwa ile hali hata wewe nasema ungeenda kupiga hata xray kwanza ...

Mkuu hali ilikua ya hatari..
Matunda kazi yake si kuongeza maji maji au kuna mengine zaidi
 
Jamaa kaongea kama utani nipigilie msumar....
Usiombe yakukute.me yashawahi kunikuta Kuna kitu nilikula halafu baadaye Sasa duhhhh.
Unajua mkuu kuna watu nimewambia chekeni sana ila hii hali utakua ww peke yako...

Yaani ubananizwa na gogo peke ako private kabisa an utajua hujui aiseee
 
Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhh
Mkuu imagine mimi lisaa lizima...
Mkuu sijawahi tumia nguvu nyingi kwa mda mfupi kama vile...

Mkuu hapa nawaza lini tena niende..
Ila nikiona hali ya ajabu hata dalili naingia mija kwa moja pharmacy

Hapana chezea hile kitu unaweza jikuta unakata moto kule watu wanakuja kukubeba
 
1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tena
 
1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tena
😁😁😁🙏🙏🙏🙏 Mkuu wee acha tuuu nakwambiaaa show ilikua kali sana aiseeee nilikua nasimama mara nachuchumaa yaani show yake ilikua sio poa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…