Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

Wakuu habari za mda huu.

Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.

Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.

Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.

Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.

Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.

1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)

2- kunywa maji ya kutosha

3- Ukihisi haja nenda mda huo huo

Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.

Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..

Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)

Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.

Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?

Ngano ndio chakula kikuu kama hujui.
 
Jamaa kaongea kama utani nipigilie msumar....
Usiombe yakukute.me yashawahi kunikuta Kuna kitu nilikula halafu baadaye Sasa duhhhh.
 
Mimi nimebadili lifestyle maana yale maumivu mpaka mayai viza kama yanapasuka hivi unaona ule msemo wa ngamia kupita kwenye tundu la sindao ni huu hapa practically

Nakunywa maji sana pia mimi hua najali privacy ya chooni sana hivyo usiku sana au mida no people ina na hakikisha haipiti siku 2 sijahudhuria

Pia nilijifunza nisiwe muonga sio kwamba nimeumia leo siendi week kila kuogopa kuumia ikifika muda wa kazi mpaka macho yanakuwa kengeza kwa kuapply unlimited force ila pumzi inakata unaanza upya

Nashukuru sasa hivi sio shida saana
Ahahahahahaha nimecheka sana mkuu, unajua unayoongea yote jana nime experience aiseee an ile hali jamni hapana chezea...

Kuna mda nikawa nasema mimi sitokuja kula ngano maisha yangu yote weee jana ilikua hatariiii..

Jana kulikua na kimbembe.. ile show kwa mtoto wa mama angesema wampeleke mwimbili tu..

As if nilikula vyuma
 
Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?

Ngano ndio chakula kikuu kama hujui.
Sasa mkuu.. dactar kwa ile hali hata wewe nasema ungeenda kupiga hata xray kwanza ...

Mkuu hali ilikua ya hatari..
Matunda kazi yake si kuongeza maji maji au kuna mengine zaidi
 
Jamaa kaongea kama utani nipigilie msumar....
Usiombe yakukute.me yashawahi kunikuta Kuna kitu nilikula halafu baadaye Sasa duhhhh.
Unajua mkuu kuna watu nimewambia chekeni sana ila hii hali utakua ww peke yako...

Yaani ubananizwa na gogo peke ako private kabisa an utajua hujui aiseee
 
Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhh
Mkuu imagine mimi lisaa lizima...
Mkuu sijawahi tumia nguvu nyingi kwa mda mfupi kama vile...

Mkuu hapa nawaza lini tena niende..
Ila nikiona hali ya ajabu hata dalili naingia mija kwa moja pharmacy

Hapana chezea hile kitu unaweza jikuta unakata moto kule watu wanakuja kukubeba
 
Ahahahahahaha nimecheka sana mkuu, unajua unayoongea yote jana nime experience aiseee an ile hali jamni hapana chezea...

Kuna mda nikawa nasema mimi sitokuja kula ngano maisha yangu yote weee jana ilikua hatariiii..

Jana kulikua na kimbembe.. ile show kwa mtoto wa mama angesema wampeleke mwimbili tu..

As if nilikula vyuma
1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tena
 
1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tena
šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ™šŸ™šŸ™šŸ™ Mkuu wee acha tuuu nakwambiaaa show ilikua kali sana aiseeee nilikua nasimama mara nachuchumaa yaani show yake ilikua sio poa kabisa
 
Back
Top Bottom