Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #281
Ahahaha mkuu unaongea funny ila ile hali jana nilikua kama mtoto.mdogo nilikua nalinyenyekea sanaYaani kikijidai na ujuaji,,kinatoka ilee fffuuuuuttyuuuuš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha mkuu unaongea funny ila ile hali jana nilikua kama mtoto.mdogo nilikua nalinyenyekea sanaYaani kikijidai na ujuaji,,kinatoka ilee fffuuuuuttyuuuuš
Pole mkuuMkuu ndani ya lisaa limoja no body in no body out
Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Sio funny tu,ila ni ukweli coz naelewaAhahaha mkuu unaongea funny ila ile hali jana nilikua kama mtoto.mdogo nilikua nalinyenyekea sana
Hahahaha š š š nmechekaaaa jaman,,we acha tuNaimagine ulipokuwa unasubiria kilie fyutyuuuu hiyo sura ako ilikuwajeee!!! ššš
Ahahahahahaha nimecheka sana mkuu, unajua unayoongea yote jana nime experience aiseee an ile hali jamni hapana chezea...Mimi nimebadili lifestyle maana yale maumivu mpaka mayai viza kama yanapasuka hivi unaona ule msemo wa ngamia kupita kwenye tundu la sindao ni huu hapa practically
Nakunywa maji sana pia mimi hua najali privacy ya chooni sana hivyo usiku sana au mida no people ina na hakikisha haipiti siku 2 sijahudhuria
Pia nilijifunza nisiwe muonga sio kwamba nimeumia leo siendi week kila kuogopa kuumia ikifika muda wa kazi mpaka macho yanakuwa kengeza kwa kuapply unlimited force ila pumzi inakata unaanza upya
Nashukuru sasa hivi sio shida saana
Mkuu kikubwa nimetoka salama nashukuru munguPole mkuu
Sasa mkuu.. dactar kwa ile hali hata wewe nasema ungeenda kupiga hata xray kwanza ...Unaelewa kazi ya matunda ni nini? Parachichi unajuwa kazi yake?
Ngano ndio chakula kikuu kama hujui.
Unajua mkuu kuna watu nimewambia chekeni sana ila hii hali utakua ww peke yako...Jamaa kaongea kama utani nipigilie msumar....
Usiombe yakukute.me yashawahi kunikuta Kuna kitu nilikula halafu baadaye Sasa duhhhh.
Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhhUnajua mkuu kuna watu nimewambia chekeni sana ila hii hali utakua ww peke yako...
Yaani ubananizwa na gogo peke ako private kabisa an utajua hujui aiseee
Mkuu imagine mimi lisaa lizima...Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhh
Tafuta hela uache kula hovyoMkuu sasa mbona kama unanikashifu et
Maisha haya haya na ndio natafuta...Tafuta hela uache kula hovyo
Kimba liligoma kutoka kwa muda wote huo?!
1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tenaAhahahahahaha nimecheka sana mkuu, unajua unayoongea yote jana nime experience aiseee an ile hali jamni hapana chezea...
Kuna mda nikawa nasema mimi sitokuja kula ngano maisha yangu yote weee jana ilikua hatariiii..
Jana kulikua na kimbembe.. ile show kwa mtoto wa mama angesema wampeleke mwimbili tu..
As if nilikula vyuma
Daaaah mkuu kusema hukuelewa kituKumbe code ya kitoto hivi....Mimi nikiwaza mbali!š
ššššššš Mkuu wee acha tuuu nakwambiaaa show ilikua kali sana aiseeee nilikua nasimama mara nachuchumaa yaani show yake ilikua sio poa kabisa1hour unawaza sijui nipake mafuta au nichukue kijiti ni tofonyetofonye ila last option unasema ngoja tu nichanike ila sirudii tena
Mkuu nimecheka sana kama mazuri ,ni kweli ogopa sana haja kubwa kubana au haja ndogo kubana tunia inakua chungu ghaflaUnajua mkuu kuna watu nimewambia chekeni sana ila hii hali utakua ww peke yako...
Yaani ubananizwa na gogo peke ako private kabisa an utajua hujui aiseee
Kubwa ni habari nyingine mkuu acha tuuu naheshimu sana kwa sasaMkuu nimecheka sana kama mazuri ,ni kweli ogopa sana haja kubwa kubana au haja ndogo kubana tunia inakua chungu ghafla