Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Kila mtu ananunua katika maisha yake,tuna tofauti tu maeneo ya kununua na njia inayotumika kununua!!

Wadangaji wapo every where,siku hizi hata vijana wanadanga kwa mashangazi!!

Maofisini wanadangiana,wanauziana,utaazia kwenye lunch,baadae kwenye weekend!!

Walalahoi wengi tunauziana kwa mfumo wa kimachinga,nipe nikupe. Daraja la kati wanauziana kwa postpaid through hanging, vacation na ushikaji.

Nothing for free,nipe nikupe!!

Hata mke inabidi umnunue kwa kulipa mahari,kumtunza etc

Return yake ni utelezi.

Akizaa kutunza watoto na kumhudumia- still the same,mfumo tu unabadilika
 
Mke hanunuliwi.
Angekuwa anunuliwa gharama ingekuwa kubwa zaidi ya hiyo.

Imagine unalipa 20K, 30K hadi 150K kwa bao moja.
Mke ungelipa kiasi gn.
Plus anakuwa ni msaidizi home.
 


Jionee huruma wewe kwanza, yeye muache.
 
Mke hanunuliwi.
Angekuwa anunuliwa gharama ingekuwa kubwa zaidi ya hiyo.

Imagine unalipa 20K, 30K hadi 150K kwa bao moja.
Mke ungelipa kiasi gn.
Plus anakuwa ni msaidizi home.

Tunasema hanunuliki kwa kua ni priceless, ukweli ni kua binadamu wote ni priceless ila huwa tunalipa fidia tu ya kutumia muda wao.

Mke nae anaangukia hapo hapo. Kua utamhitaji aungane nawe,utalipa walau mahari,utaanza kumhudumia-!
 
Tunakusubiria kwenye mahari tukugonge bei nzuri ili ukajiskie vibaya zaidi kwanini unauziwa binadamu mwenzio mazima ili kusudi sasa akalalie tumbo na ili ukojoe haraka hadi kifo kiwatenganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…