Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Hao wanawake wauza papuchi aisee wana mapenzi ya Hatari mkielewana.
Na humpi senti tano,we usiwe na wivu tu.
Atatoka huko anakuja kukupa we unakesha nayo mpk asubuhi.
Hapo unapikiwa,nyagi utapewa,hadi hela atakupa tu.
Mara nyingi anakua na mtu wake mmoja tu hawasumbuani
🙂hii nimeilewa
 
Unawaza kununua mtu wakat ukienda hospital unanunua uhai na km huna pesa unakufa
Af hao hawauzi mwili hao wanakodisha mwili ndo maana unatumia unaacha mwingne anaingia anatumia
 
Back
Top Bottom